Msaada: Mpenzi anataka nichore tattoo

Msaada: Mpenzi anataka nichore tattoo

Finest

Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
49
Reaction score
14
Kwa Dar es salaam wapi wanachora tattoo ya muda mfupi kama zile ambazo ukitaka kuzitoa unazitoa baada ya mwaka mf na bei zao pleas nahitaj kumfurahisha babaa tattoo kiunoni.
 
Akili ama matope?? Nawaonea huruma sana wenye kupenda kupitiliza mpk fahamu zinahama kiwiliwili.
 
Hongera mwaya... mahaba mahabani!
Nahisi wengine hatupendwi maana hatuombwi kuchora tatuu.
 
Usichore tattoo, mwambie mkioana utamchora yeye.....
 
Yeye amejichora kwa ajili yako? kwanini asijichore yeye kwanza. michoro mingine kujichora chora unaalika mashetani mwilini mwako

mnhhhh...wee mwenzetu wa imani gani aisee?....mashetani yanaletwa na tatoo mwilini?....hiyo bibilia au koran ya wapi aisee.....nijuze please.
 
Kuna mmoja aliwahi kuja kuomba namna ya kufuta tatoo maana kaandika jina la mpenzi wake ambae walishaachana. Iwe mda mrefu au mfupi unachotakiwa ni kuwa makini. Mahusiano ya sasa ni kama kamali leo kwako kesho kwa mwenzako.
 
do not believe everything you read, hear or see is REAL....ila niambie umeyatoa wapi hayo ya tatoo na mashetani?....wamakonde ndonya na wagogo chale wanazojitia mwilini zinatofauti gani na tatoos?...mbona hawana mashetani?.....kwahiyo kila mwenye shetani/jini ana-tatoo mwilini?

just thinking aloud and out of the box....
 
Kwa Dar es salaam wapi wanachora tattoo ya muda mfupi kama zile ambazo ukitaka kuzitoa unazitoa baada ya mwaka mf na bei zao pleas nahitaj kumfurahisha babaa tattoo kiunoni.

nitumie PM nikupe maelekezo wapi nilipo,nachora tattoo sehemu yoyote ya mwili.
 
do not believe everything you read, hear or see is REAL....ila niambie umeyatoa wapi hayo ya tatoo na mashetani?....wamakonde ndonya na wagogo chale wanazojitia mwilini zinatofauti gani na tatoos?...mbona hawana mashetani?.....kwahiyo kila mwenye shetani/jini ana-tatoo mwilini?

just thinking aloud and out of the box....

Hujaelewa hata hoja unayobishia, nilisema michoro mingine inayochorwa inaita mashetani. Yaani wewe unaweza kujikuta umependa tattoo fulani na kile kitendo cha kujichora unakuwa umejipiga mhuri na umeingia mkataba na majini na mashetani. Tattoo za nyoka na zingine zinaweza kukuweka matatizoni. Sijasema wenye majini wote wana tattoo, ila tattoos zinaweza kuwa ndio moja ya vibali vya hayo mashetani kukuingia. Angalia video ya kwanza hiyi katika hizo link kuna dada anafanya umalaya akiyatumikia mashetani kuharibu maisha ya wanaume anaowafuata, yamesema yenyewe wameingia covenant nae kwa tattoo kiunoni na amesema mwanaume akiiona anamfuata tu.
 
dada yangu kuna vitu vipo wazi wala haviitaji darubini kuviona....niambie ni mwanaume gani akiona kiuno cha mwanamke tena bila hata ya kuwa na tatoo ataacha kukitolea udenda...naongea kama mwanaume...sie wanaume tunavutika na kushawishika kushiriki ngono kwa kuona tuu. na nyie hisia zenu za ngono zipo kwenye kuguswa kuliko kuona.
sasa hiyo tatoo ya kiunoni inaongezea mvuto wa ngono na wala sio jini wala maagano na majini ndio yanamfanya huyo malaya akamate waume za watu.

mwambie ajichore tatoo kila sehemu ya mwili ila avae baibui tuone kama hayo majini yatavuta wanaume waende kula naye tunda la mti kati......biashara matangazo na yule ni mfanya biashara.

think aloud my sister..... na usiamini kila kitu unachosimuliwa mpaka upate uthibitisho wa kisayansi. hoja yako ya tatoo kuleta majini bado haina mashiko kisayansi....fanya utafiti wako mdogo utagundua maeneo mengi ya hospitali au karibia hospital zote zilikuwa na logo yenye picha ya nyoka....unasemaje juu ya hilo?....au nikube jibu la kisayansi na kihistoria kidogo?....au unaamini kila shetani anakuwa represented na symbo au tatoo ya nyoka?

for now i care ....yes i do.
 
wee PesaNdogo hivi unataka nisikufuate kwakuwa hujachora tatoo....hivi hiyo booster uliyoonyesha hapo kwenye avatar yako tayari inanifanya niingie majaribuni...sasa iongezee na tatoo kisha iache nje kila dume liione. believe me honey hata dume la mbwa litakufuata tuu....mtu kama niki minaj kwa mzigo ule hata kama hana tatoo lazma afunge trela ya midume inayotaka kuonja utamu wa uno lake.

napinga hoja kuwa tatoo zinaleta au kuvutia majini na hasa ikiwa kiunoni.
 
dada Mara ya mwisho kupima akili yako ilikuwa lini.???
 
dada yangu kuna vitu vipo wazi wala haviitaji darubini kuviona....niambie ni mwanaume gani akiona kiuno cha mwanamke tena bila hata ya kuwa na tatoo ataacha kukitolea udenda...naongea kama mwanaume...sie wanaume tunavutika na kushawishika kushiriki ngono kwa kuona tuu. na nyie hisia zenu za ngono zipo kwenye kuguswa kuliko kuona.
sasa hiyo tatoo ya kiunoni inaongezea mvuto wa ngono na wala sio jini wala maagano na majini ndio yanamfanya huyo malaya akamate waume za watu.

mwambie ajichore tatoo kila sehemu ya mwili ila avae baibui tuone kama hayo majini yatavuta wanaume waende kula naye tunda la mti kati......biashara matangazo na yule ni mfanya biashara.

think aloud my sister..... na usiamini kila kitu unachosimuliwa mpaka upate uthibitisho wa kisayansi. hoja yako ya tatoo kuleta majini bado haina mashiko kisayansi....fanya utafiti wako mdogo utagundua maeneo mengi ya hospitali au karibia hospital zote zilikuwa na logo yenye picha ya nyoka....unasemaje juu ya hilo?....au nikube jibu la kisayansi na kihistoria kidogo?....au unaamini kila shetani anakuwa represented na symbo au tatoo ya nyoka?

for now i care ....yes i do.

Akili yako haielewi, naona nikuache hivyo hivyo mpk utakapofunguliwa. Unachoweka mwilini mwako na kilichochorwa kwenye pesa, logo na majengo havina uzito sawa kwako as ana individual. Nimeweka ile video ili uelewe ila naona hujaangalia, ungeangalia usingekuwa na swali wala usingejibu majibu ya wanaume kutamani viuno kirahisi hivyo.
Kwa taarifa yako (FYI) sijasimuliwa nimeona, angalia video uone.
Shetani anawatumia watu wengi tu so sishangai wewe kutumia nguvu kupinga na kubishia kitu chenye kuongelewa kawaida tu kama onyo. Mi nimeonya sijasema kila mchoro wa tattoo unafanana ila kwa sababu unaweza usijue kutofautisha ni vema uwe makini usipatwe na matatizo.
 
Huo ni mwili.wako una mamlaka nao Fanya maamuz we mwenyewe...
Ili siku mkiachana kama umeiweka.kwenye kalio ulikate tehete
 
Back
Top Bottom