umurumaithaa
Member
- May 9, 2015
- 70
- 8
Umurumaithaa, pole kwa kufiwa ( kuharibikiwa) na mother body , hujaeleza aina ya msaada unaoutaka
1.Kupata "mother body" iliyonzima? !
2. Kupata pc mpya? !
Nasubiri
na umejuaje kama imeharibika
Umurumaithaa, pole kwa kufiwa ( kuharibikiwa) na mother body , hujaeleza aina ya msaada unaoutaka
1.Kupata "mother body" iliyonzima? !
2. Kupata pc mpya? !
Nasubiri
Motherboard to computer is like a brain to human being,so kuwa makini na replacement yakena kama gharama zitakuwa juu.Ni bora ununue laptop mpya.Please yng ya lenovo imekufa mother body msaada, kama mtu anawezakunisaidia
Motherboard to computer is like a brain to human being,so kuwa makini na replacement yakena kama gharama zitakuwa juu.Ni bora ununue laptop mpya.