magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 14,047
- 34,475
Kuna tatizo limejitokeza hapa leo wakati nawasha Pc asubuhi ikawaka hadi Windows ikaoneka lakini ghafla monitor ikajizima. Sijajua tatizo nini maana toka mda huo haijawaka tena ila kuna ka sauti kanatoka lakin power light hata haiwaki! Msaada wenu tafadhali!