Msaada: Mnawezaje kudumu katika mahusiano kwa muda mrefu?

Msaada: Mnawezaje kudumu katika mahusiano kwa muda mrefu?

Off Course, tatizo letu vijana tunapenda kukuta mtu keshafanikiwa ndiyo uanze nae mahusiano kitu kinachotugharimu sana sababu hujui nani kamfikisha hapo? kapata shida gani kufika hapo? kayapataje pataje hayo mafanikio?? Mwisho wa siku unamdandia then waliomfikisha hapo alipo wanaibuka unapigwa chini unaanza kulia lia

Kwa nini usimfikishe wa kwako hapo unapotaka??

that iz real offcourse mm nlipta ilo wazo nikaamua kufanya ivyo kiukwel naenjoy and am like a queen now
 
Ni mapenzi ya Mungu kwa kweli. Lakini kuna umuhimu wa mmoja wenu kujishusha (mjini wanasema kuwa ----/zoba). Lakini mkikutana much-know hapo hamna kitu. Mahusiano yanayodumu unakuta mmoja (hawa mwanamke) anakuwa amejishusha. Hakuna mwanaume anataka mwanamke kiburi no matter how hot she may be. Hard-headed b.itches just dont cut it for most dudes.

...one of the them here, how bout that...
Kiburi?!!...what about trying to be even?
 
Piga pumbu vizuri , kuwa na hela ya kuendesha mahusiano, don't expect much kutoka kwa mwenzako na kama una ubavu nyang'anya mtu mwanamke wake.....

Sitaki maswali....
 
Back
Top Bottom