Msaada: Mnawezaje kudumu katika mahusiano kwa muda mrefu?

Msaada: Mnawezaje kudumu katika mahusiano kwa muda mrefu?

Hilo tatizo huwakuta wale wengi ambao huchagua level ambazo sio zao, solution ni kuchagua mtu anae endana na wewe
 
Wait usiwe na papara ktk kupenda tulia atakuja wako akupendae mtadumu milele
 
Hilo tatizo huwakuta wale wengi ambao huchagua level ambazo sio zao, solution ni kuchagua mtu anae endana na wewe

Sure aiseeee hiz habar za kutaka vigezo vya pekee yako wakati hujamuumba wew ni shida hii
 
Ni mapenzi ya Mungu kwa kweli. Lakini kuna umuhimu wa mmoja wenu kujishusha (mjini wanasema kuwa ----/zoba). Lakini mkikutana much-know hapo hamna kitu. Mahusiano yanayodumu unakuta mmoja (hawa mwanamke) anakuwa amejishusha. Hakuna mwanaume anataka mwanamke kiburi no matter how hot she may be. Hard-headed b.itches just dont cut it for most dudes.
 
Mkuu tulia hajapatikana bado, wako yupo akija mwenyewe utamjua unakuwa kama jinga fulani hv yaani Yes ni nyingi kuliko No zikifuatiwa na sorry baby
 
Sure aiseeee hiz habar za kutaka vigezo vya pekee yako wakati hujamuumba wew ni shida hii

mtu anaweka vigezo mia halafu anataka vyote avikute kwa mtu mmoja

wakati mwingine mtu anaweza akawa na nusu ya vigezo lakini kadri muda unavyokwenda taratibu vinaongezeka hadi anafikia malengo unayoyataka wewe
 
Siri ya kudumu ni kusamehe na kusahau usidhan utakae ishi nae atakuwa malaika au anavigezo vyote utakavyo hpn ridhika na ulivyomuona
 
Nafikiri pia mwanamke anahitaji muda ili aweze kupenda kwa dhati na hapo ndipo uvumilivu unatakiwa.anaweza kukubali kweli mkaingia kwenye mahusiano lakin moyo wake ukawa bado haujakudondokea endeleza hayo macare na masecurity taratibu ataingia laini
 
Mkuu tulia hajapatikana bado, wako yupo akija mwenyewe utamjua unakuwa kama jinga fulani hv yaani Yes ni nyingi kuliko No zikifuatiwa na sorry baby

aisee kumbe ni suala la muda tu?
 
Nafikiri pia mwanamke anahitaji muda ili aweze kupenda kwa dhati na hapo ndipo uvumilivu unatakiwa.anaweza kukubali kweli mkaingia kwenye mahusiano lakin moyo wake ukawa bado haujakudondokea endeleza hayo macare na masecurity taratibu ataingia laini

nimekuelewa mkuu acha nizidishe hayo macare!!
 
Ushauri wako umenigusa sana Himidini nadhani mimi pia nipo kwenye hilo kundi,hawakukosea waliosema penye miti hapana wajenzi yaani mwenye mapenzi ya kweli anaachwa wanachukuliwa vicheche,ni bora tu kufanya subira.
Kuna kundi la watu ambao kwao, mapenzi si jambo rahisi. Wanapenda mapenzi, wanania ya dhati, ni matajiri wa upendo Lakini kila wanapokanyaga panawakatisha tamaa! Si kosa lao! Ningeombwa ushauri na kundi hilo, basi ningesema tu.. Wasiyatafute mapenzi mpaka yatakapoona vema yenyewe au Wakiyatafuta, basi watafute their matches 'compatibles' ! Kinyume chake ni sonononeko la Moyo.
^^
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom