Msaada:MMS inagoma kwenda

Msaada:MMS inagoma kwenda

Kashi

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
897
Reaction score
748
Ninatumia Tecno P5,ninapotuma ujumbe mfupi(SMS) kwa mtu zaidi ya mmoja unajibadili automatically kuwa MMS na ninapo-command kuutuma inagoma kwenda.Tatizo ni nini? Nimejaribu kuangalia settings mbalimbali za utumaji ujumbe lakini tatizo liko palepale.Naombeni msaada wenu wakuu.
 
Msaada wakuu au hamjaiona hii thread? Chief Mkwawa uko wapi? Nashindwa kutuma group sms.
 
Back
Top Bottom