Dawa ya fangasi ila sina hakika maana sijawahi tumia Mbalizi.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Hizo punje mkimeza zinasaidia nini
Kinasaidia nini?Hiyo ilikuwa zamani.Kwa siku hizi wadada wengi wanatumia kitunguu swaumu
Ya Fungus Sugu zisizosikia dawa.Kitunguu swaumu ni dawa ya nini??
Hahaaaa. Sio ndio utamsifia kwamba amerudi usichana kweli?ππBinafsi nasema kama nitaona mabadiliko kwa maana ya vile nilivyokuzoea imekuwa tofauti- hapo lazima nihoji
ππππRudi nikuwekee vanilaππ
Labda!!Nadhani inasababishwa na kukosa elimu kuhusu afya ya mwili kwa ujumla Mbalizi.
Sababu kwa anayeifahamu hawezi fanya hii kitu.
Sasa hapo ndo inabidi ufanye timing ya muda ambao msuguaji mkΓΉnaji yupoHahaaaa. Sasa swahiba hii si inakuwa dawa, kwamba inawekwa muda ambao Me hayupo ili akija akute kumenaniliu.
Hapo kuhangaika hakuzuiliki Swahiba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeeBacteria wanaosababisha muwasho na harufu mbaya huko chini
Mmh. Nini sasa Mbalizi?Labda!!
Ila Mngh!
Kwa kuruka viunzi nakujua[emoji3] [emoji3] [emoji3]Dawa ya fangasi ila sina hakika maana sijawahi tumia Mbalizi.
Usije ukanibananisha buure. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kweli Swahiba. Ila kwa mbaali nawaza hata Me akiingiza naniliu huko kwenye kitunguu sidhani kama naye atakuwa salama?Sasa hapo ndo inabidi ufanye timing ya muda ambao msuguaji mkΓΉnaji yupo
[emoji3] [emoji3] lakini ni muhimu kujua sababu ili kama ni hatarishi kama mleta mada alivoeleza tuweze kuwekana sawaHahaaaa. Sio ndio utamsifia kwamba amerudi usichana kweli?[emoji12][emoji12]
Hebu niache Mbalizi. Ujue natumia Smartphone na tunasoma vitu vingi sana na kujifunza vingi na sidhani kama vyote tunavifanyia practical. ππππππππKwa kuruka viunzi nakujua[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ulijuaje saasa na hujawahi tumia
Naguna tu mimi hapaMmh. Nini sasa Mbalizi?