Msaada: Mke wangu anapaka kitunguu maji sirini!

Naamini nia yake si mbaya kwako na yote hayo anayafanya ili kukuridhisha wewe japo hatujui madhara kwa hapo baadae.

Tena utumie busara za juu kama utamuuliza. Ili kuepuka mikwazano
 
Hahaaaaa eti mifukooo.....nimecheka hapo khaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaaaa best leo unanichekesha sana na hizi comments zako, duuh[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tupe mrejesho mkuu kabla na baada ya kuirosti vip testa yake
 
Huyo mwanamke atakua ananuka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…