mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 850
kwa kweli sina cha kukushauri zaidi ya kusema waheshimu sana wazazi wako hata kama umewazidi umri
yani bwana mdogo wewe tiyari ulishapanga kumla mke wa mtu ila unatafuta tu legitimacy hapa JF ya kwenda kumla, Nikuambie tu lolote baya litakalokupata huko kwa ushauri utakaopewa hapa JF haiwezi kukusaidia zaidi ya wewe mwenyewe kupambana na hali yakoOn point atanidharau sana nisipo mla
Kama mumewe ni mtu wakusafiri chunguza safari zake ni za muda gani? Kama ni wale wanaoenda Zambia na malori miezi 6 tafuna tu.Habari wana JF naimani mko powa na majukumu na harakati za kusaka tonge zinasonga ...
Niende moja kwa moja kwenye story. Huyu bi dada tulikutana maeneo katika harakati za maisha tukatokea kubadilisha number. Tukawa tunachat na tukafahamiana sana.
Ila huyu bi dada katokea kunielewa na kunipenda kinoma. Ndipo nikaja kugundua kwamba wanawake wa siku hizi nao wanatongoza. Ila katika kuchunguza nikaja kugundua ni mke wa mtu na ana watoto wawili.
Na mume wake ni mtu wa kusafiri sana. Kwahiyo mara nyingi huwa anabaki yeye peke yake. Ndio nikaja kugundua kwambaa chanzo cha kuhangaika kwakwe ni ugwadu
Mwisho wa siku akaja kuomba mechi tukapanga mwaka mpya haikuwezakana kwa sababu nilitoka mkoa sababu tulimeet ile night tu tukaaa na kunywa ckutaka kumfanya chochote
Niko njia panda nimle au nikaushe. Maana hizi nyuzi za umu mara mke wa mtu sumu kuna kupakwa mafuta zinanitoa mood kabisa.
Na hizi Habari za mke wa mtu kuwekwa tego je ni kweli?
SHAURI CHOCHOTE NARUDISHA MPIRA KWAKO MWALIMU KASHASHA.
Utaelekezwa na huyo muhusika anajua matumzi yake utaonaYa nn
Mpige mpeke sema hakikisha unamtafunia kwako kwa gharama yeyote ile 😝...You will be safe kisha mkache usijenge mazoeaHabari wana JF naimani mko powa na majukumu na harakati za kusaka tonge zinasonga ...
Niende moja kwa moja kwenye story. Huyu bi dada tulikutana maeneo katika harakati za maisha tukatokea kubadilisha number. Tukawa tunachat na tukafahamiana sana.
Ila huyu bi dada katokea kunielewa na kunipenda kinoma. Ndipo nikaja kugundua kwamba wanawake wa siku hizi nao wanatongoza. Ila katika kuchunguza nikaja kugundua ni mke wa mtu na ana watoto wawili.
Na mume wake ni mtu wa kusafiri sana. Kwahiyo mara nyingi huwa anabaki yeye peke yake. Ndio nikaja kugundua kwambaa chanzo cha kuhangaika kwakwe ni ugwadu
Mwisho wa siku akaja kuomba mechi tukapanga mwaka mpya haikuwezakana kwa sababu nilitoka mkoa sababu tulimeet ile night tu tukaaa na kunywa ckutaka kumfanya chochote
Niko njia panda nimle au nikaushe. Maana hizi nyuzi za umu mara mke wa mtu sumu kuna kupakwa mafuta zinanitoa mood kabisa.
Na hizi Habari za mke wa mtu kuwekwa tego je ni kweli?
SHAURI CHOCHOTE NARUDISHA MPIRA KWAKO MWALIMU KASHASHA.
Mme wake yumo humuhumu,utakufa.Habari wana JF naimani mko powa na majukumu na harakati za kusaka tonge zinasonga ...
Niende moja kwa moja kwenye story. Huyu bi dada tulikutana maeneo katika harakati za maisha tukatokea kubadilisha number. Tukawa tunachat na tukafahamiana sana.
Ila huyu bi dada katokea kunielewa na kunipenda kinoma. Ndipo nikaja kugundua kwamba wanawake wa siku hizi nao wanatongoza. Ila katika kuchunguza nikaja kugundua ni mke wa mtu na ana watoto wawili.
Na mume wake ni mtu wa kusafiri sana. Kwahiyo mara nyingi huwa anabaki yeye peke yake. Ndio nikaja kugundua kwambaa chanzo cha kuhangaika kwakwe ni ugwadu
Mwisho wa siku akaja kuomba mechi tukapanga mwaka mpya haikuwezakana kwa sababu nilitoka mkoa sababu tulimeet ile night tu tukaaa na kunywa ckutaka kumfanya chochote
Niko njia panda nimle au nikaushe. Maana hizi nyuzi za umu mara mke wa mtu sumu kuna kupakwa mafuta zinanitoa mood kabisa.
Na hizi Habari za mke wa mtu kuwekwa tego je ni kweli?
SHAURI CHOCHOTE NARUDISHA MPIRA KWAKO MWALIMU KASHASHA.
Jamaa walimfanyia ukatili sana dohacha kabisa mkuu maana kunamshkaji wanu hivi hivi aliniomba ushauri nikamzuia ila kama kawaida yetu na mume wa huyu mama alikuwa anasafiri sasa hivi tunaoongea jamaa yangu walimtoboa macho na bisi bisi ni kipofu kapoteza kila kitualichokitolea jasho kisa mke wa mtu. Mke wa mtu ni mke wa mtu mwenyewe akirudi lazima atajua tuu..
N.B. wnawake wanatongoza kila leo ndio
Kwamba wahuni watampiga para 😂 sioMumuandae pia kisaikolojia kuhusu swala la marinda akikutwa tunasema both team to score
Ndipo unapoelekea mkuuNo way
Wacha weeeh, nipo mkao wa kula kusubiri mrejesho.Be humble check movie