Msaada: Mke wa mtu ananitaka kimapenzi, nifanyeje?

Habari wana JF naimani mko powa na majukumu na harakati za kusaka tonge zinasonga ...

Niende moja kwa moja kwenye story. Huyu bi dada tulikutana maeneo katika harakati za maisha tukatokea kubadilisha number. Tukawa tunachat na tukafahamiana sana.

Ila huyu bi dada katokea kunielewa na kunipenda kinoma. Ndipo nikaja kugundua kwamba wanawake wa siku hizi nao wanatongoza. Ila katika kuchunguza nikaja kugundua ni mke wa mtu na ana watoto wawili.

Na mume wake ni mtu wa kusafiri sana. Kwahiyo mara nyingi huwa anabaki yeye peke yake. Ndio nikaja kugundua kwambaa chanzo cha kuhangaika kwakwe ni ugwadu

Mwisho wa siku akaja kuomba mechi tukapanga mwaka mpya haikuwezakana kwa sababu nilitoka mkoa sababu tulimeet ile night tu tukaaa na kunywa ckutaka kumfanya chochote

Niko njia panda nimle au nikaushe. Maana hizi nyuzi za umu mara mke wa mtu sumu kuna kupakwa mafuta zinanitoa mood kabisa.

Na hizi Habari za mke wa mtu kuwekwa tego je ni kweli?

SHAURI CHOCHOTE NARUDISHA MPIRA KWAKO MWALIMU KASHASHA.
Kwa nini usimuulize mume wake au mkeo?
 
acha kabisa mkuu maana kunamshkaji wanu hivi hivi aliniomba ushauri nikamzuia ila kama kawaida yetu na mume wa huyu mama alikuwa anasafiri sasa hivi tunaoongea jamaa yangu walimtoboa macho na bisi bisi ni kipofu kapoteza kila kitualichokitolea jasho kisa mke wa mtu. Mke wa mtu ni mke wa mtu mwenyewe akirudi lazima atajua tuu..
N.B. wnawake wanatongoza kila leo ndio
 
Kuna watu niliwaambia wanawake wanatongoza wakabisha....tena hata ukijifanya upo busy vipi utamkimbia utachoka. Hahahahah tena kama mpo mazingira jirani mamamama utajuta.

Jaman wanawake wa sasa wakisha jua kile anacho kitafuta unacho wewe babu/baba/mjomba/kaka /dogo nakuambia huchomoi labda yeye akukatie tamaa
 
Nimeamini tumetofautiana akili sana hapa duniani.. Mimi nikijua hata demu ana mwana wake huwaga hata mazoea siweziii yanii ndo leo iwe mke wa mtu hapana aisee!

WANAWAKE WAPO WENGI SANA USIPOTEZE NGUVU ZANGU KUTAFUTA MATATIZO YASIYOKUWA YA LAZIMA.
 
Kuna watu niliwaambia wanawake wanatongoza wakabisha....tena hata ukijifanya upo busy vipi utamkimbia utachoka. Hahahahah tena kama mpo mazingira jirani mamamama utajuta.

Jaman wanawake wa sasa wakisha jua kile anacho kitafuta unacho wewe babu/baba/mjomba/kaka /dogo nakuambia huchomoi labda yeye akukatie tamaa
sio wa sasa kaka mimi ndio karibu mademu wangu wote huwa wanajimwaga mi nikutembeza tu rungu
 
Kuna watu niliwaambia wanawake wanatongoza wakabisha....tena hata ukijifanya upo busy vipi utamkimbia utachoka. Hahahahah tena kama mpo mazingira jirani mamamama utajuta.

Jaman wanawake wa sasa wakisha jua kile anacho kitafuta unacho wewe babu/baba/mjomba/kaka /dogo nakuambia huchomoi labda yeye akukatie tamaa

Kweli brother
 
Habari wana JF naimani mko powa na majukumu na harakati za kusaka tonge zinasonga ...

Niende moja kwa moja kwenye story. Huyu bi dada tulikutana maeneo katika harakati za maisha tukatokea kubadilisha number. Tukawa tunachat na tukafahamiana sana.

Ila huyu bi dada katokea kunielewa na kunipenda kinoma. Ndipo nikaja kugundua kwamba wanawake wa siku hizi nao wanatongoza. Ila katika kuchunguza nikaja kugundua ni mke wa mtu na ana watoto wawili.

Na mume wake ni mtu wa kusafiri sana. Kwahiyo mara nyingi huwa anabaki yeye peke yake. Ndio nikaja kugundua kwambaa chanzo cha kuhangaika kwakwe ni ugwadu

Mwisho wa siku akaja kuomba mechi tukapanga mwaka mpya haikuwezakana kwa sababu nilitoka mkoa sababu tulimeet ile night tu tukaaa na kunywa ckutaka kumfanya chochote

Niko njia panda nimle au nikaushe. Maana hizi nyuzi za umu mara mke wa mtu sumu kuna kupakwa mafuta zinanitoa mood kabisa.

Na hizi Habari za mke wa mtu kuwekwa tego je ni kweli?

SHAURI CHOCHOTE NARUDISHA MPIRA KWAKO MWALIMU KASHASHA.
Kama umechoka kuwa na marinda basi mtafune huyo mke wa mtu.
 
Acha uongo

Mwanamke atake umtie ,alafu eti wee ndo umuache??

Hajakutongoza, Ulimtongoza weee. Sema yeye labda anakutengenezea mazingira marahisi.

Hajataka umle, ila wewe ndo umemuomba sana papuchi nayeye kakuambia Atakupa

Ndio maana wee ndio ulikua wakwanza kumuomba namba.
Huyu ameshamtafuna ila hicho anachokitafuta atakipata soon
 
Back
Top Bottom