Msaada: Mimi na mwenza wangu tunatofautiana makundi ya damu, nimeambiwa atapata shida wakati wa kujifungua

kidume Akili

Member
Jun 5, 2017
29
15
Wakuu na mchumba wangu nimempa ujauzito na nilikuwa na process za kufunga ndoa lkn nipo njia panda baada ya kumpeleka clinic kupimwa ukimwi na tukatoka salama wote shida ikatokea upande wa group za damu zimetofautia yy ana group -A afu Mimi group +A Sasa majibu niliyopewa na madokta yananipa wasi wasi mkubwa kuwa huyu mama Kuna uwezekano akapata shida wakati wa kujifungua eti kisa tumetofautiana hiizi group za damu nawaza sana naomba wataalamu wa masuala haya waje kunipa ufafauufa au mwenye uelewa wa jambo au ambaye alishakumbana na hiii situation tafadhali wanaJF.

Dr msaada wenu tafadhali
 
Blood group is named after antigens, antigen cause immune system to respond. A- group will have A antibodies that will react with blood group A-
 
Mama sky eclat hapo wengi tumepita kapsa fafanua mama hizo antigen na antibody zinanyaje
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakuu na mchumba wangu nimempa ujauzito na nilikuwa na process za kufunga ndoa lkn nipo njia panda baada ya kumpeleka clinic kupimwa ukimwi na tukatoka salama wote shida ikatokea upande wa group za damu zimetofautia yy ana group -A afu Mimi group +A Sasa majibu niliyopewa na madokta yananipa wasi wasi mkubwa kuwa huyu mama Kuna uwezekano akapata shida wakati wa kujifungua eti kisa tumetofautiana hiizi group za damu nawaza sana naomba wataalamu wa masuala haya waje kunipa ufafauufa au mwenye uelewa wa jambo au ambaye alishakumbana na hiii situation tafadhali wana jf ,, Dr msaada wenu tafadhali
Hill tatizo siku hizi sio changamoto sana Maana elimu ya afya imekuwa kubwa sana.

Ulicho kizungumzia kinahusu mambo ya Rhesus factor, kwa % kubwa ya binadamu wana rhesus factor+ Rh+ na wachache wana hiyo Rh-.

Kwa mtoto wa kwanza haina shida Maana atajifungua vizuri tu bila shida yeyote, na madakitari watawashauri city vya kufanya.
 
Back
Top Bottom