kitabakilo
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 319
- 572
Kama nilivyoeleza hapo juu nikama wiki tatu zilizopita walinitumia barua kwa DHL ikitoka katika oficce yao ya kenya kuwa natumia software ambayo siyo genuine na haiko lincesed wakaendelea zaidi na kudai kuwa hadi ifikapo tarehe 15 mwenzi huu nipeleke uthibitisho wa microsoft software zote ninazotumia ktk oficce yngu kama zipo genuine(ingawajeea sijui naupeleke wapi huo uthibitisho na ni upi)
barua ni hii
Mimi nikauchuna 7bu sikujua nini wanataka na ni computer ipi hiyo wanaizungumzia 7bu hapa ofisini natumia computer tatu laptop moja na mbiri desktop na mm km sotware za microsoft natumia oficce 2007 na window 7 tu sasa sijui wanazangumzia software ipi nashindwa kuelewa
Sijakaa vizuri kama siku mbiri zilizopita wamenitumia barua nyingune wanataka wakutane na IT team ili wajadili hili swaLa wakati mm sijamwajiri mtu yoyote wa IT
barua ya juzi ambayo na ya piri ni hii
Wasiwasi wangu najiuliza
wamejuaje location ya oficce yngu na P.O.BOX number mpk kunitumia barua kwa DHL
wakati katika hizi computer sijaingiza information yangu yoyote kuhusu hii kampuni yangu na hata mm mwenyewe.
Pili ninavyojua km ukitumia software ambayo si genuine watakupa taalifa then itahesabu siku zikipungua kama hujalipia mwisho unashindwa kutumia sasa je mbna sion taarifa yoyote na software zote ziko poa.
Tatu km ni oficce na window mbna natumia computer hizihizi na ni mwaka na miezi km 10 sijawai pewa taalifa hii.
Wametoa namba nipige ila sijajua nitajieleza vp nimeleta hapa nipate ushauri kbla sijawapigia
maana isije ikawa mataperi nikaingizwa mjini.