- Thread starter
- #21
Kama unamfaham mmoja wapo nielekeze mkuuWako waganga wanaofanyia kazi swala la mtu na linarekebshika kabsa....siyo wote ni wahuni kama comment ilivyoandikwa!! Anyway kila mtu aamini kivyake sitaki kusahihishwa!!

Naeza enda mkuuTanga waweza enda nikupatie mawasiliano?
Anatafutwaje Mkuu,Nina tatizo serious sanaM
MGanga hatafutwi kama unatafuta house girl
Jaribu huyo +255755748750Usilete injili hapa tuna imani tofauti
Kwa anaefaham mganga yoyote wa kienyeji ambae ni FUNDI naomba anielekeze hata pm please, Nina shida tena kubwa sana na ni mda mrefu nateseka.
Awe maeneo ya dar,pwani au morogoro
Nitashukuru kwa msaada.asanteni
Asante sana kiongoziKama utaweza kupokea ushauri wangu... Pokea sasa! Hapa utakutana na Madalali wa ulozi tuu... Na kuishia kupigwa... Kama una tatizo serious liweke hapa nikusaidie bure... Huko unakotaka kwenda utaishia kupigwa na kuongeza tatizo
Muone bingwa wa Ulozi, Mshana Jr. Kwa sasa atakuwa Chato kuzindua Fisi..
Asante mkuuJaribu huyo +255755748750
Kwani huyo uliyemquaty comment yake inahitaji shukrani!?? Amekuambia liweke hapa tatizo lako usaidiwe bure kabisaa kuliko kwenda kupigwa! Hapa unatumia jina bandia huna haja ya kuogopa!Asante sana kiongozi
nipo hapa mkuuUsilete injili hapa tuna imani tofauti
Kwa anaefaham mganga yoyote wa kienyeji ambae ni FUNDI naomba anielekeze hata pm please, Nina shida tena kubwa sana na ni mda mrefu nateseka.
Awe maeneo ya dar,pwani au morogoro
Nitashukuru kwa msaada.asanteni
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji114][emoji114][emoji114][emoji100][emoji100][emoji100][emoji100]Muone bingwa wa Ulozi, Mshana Jr. Kwa sasa atakuwa Chato kuzindua Fisi..
[emoji23]Aiseeeeeee
Naifahamu hii tasnia vilivyo sio kwamba najisifia... Ukweli ni huu asilimia 90 ya waganga wanaangukia kwenye kundi hiliWako waganga wanaofanyia kazi swala la mtu na linarekebshika kabsa....siyo wote ni wahuni kama comment ilivyoandikwa!! Anyway kila mtu aamini kivyake sitaki kusahihishwa!!
Yaani ni Bora nikuelekeze Bar, kisha nikutafutie changudoa, kisha, kisha ukaua watu hata watano BAADO SHARI YA HAYA YOTE HAIFIKII SHARI YA KWENDA KWA MGANGA WA KIENYEJI, TENA SI LAZMA AKUTIBU SIJUI, LAH KULE KUMWENDEA TUUsilete injili hapa tuna imani tofauti