Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,349
Uchaguzi umekaribia, sasa mdanganyike muanze kuua watu, tutawafyekelea mbali
hahahaKuzindua Fisi [emoji28][emoji28]
kaboa kweliUmeshaambiawa usilete injili hapa mbona huelewi!
kuna watu naona huwa ni wagumu sana kuelewa.kaboa kweli
Best umeamkia huku 😂 😂😂😂😂😂😂
Best umeamkia huku 😂 😂
😂 😂😂 hawa watakuwa wamepata wateja wengi sana, sipati picha.😂😂😂Nacheka san yaan...!dah..watu na imani zenu😂😂😂...kuna madogo fulan wakk kigamboni...ni waganga wa kienyeji..bas wakat huo hubby anasoma ..Wakawa wakishapiga madeal yao wanamuita mume wanagonga nyagi wote..yaa unaambiwa walikua wanamsimulia jamaa anabak haamini..unaambiwa kila mwanamkr anayeenda kwao lazima wamle..hapo anakua ana shida ya uzaz..baada ya muda mdada anakuwa ana mimba ..kumbe zao😂 ...wanatumia mabomba wameyachimbia chin ya ardhi ndo wanadai wanawasiliana n mizimu😂😂😂😙💃💃💃💃💃..nenden tu kwakwel
😂 😂😂 hawa watakuwa wamepata wateja wengi sana, sipati picha.😂😂😂
ngoja kwanza rafiki, naona umeninywesha chai asubuhi na mapema kabla hata sijapiga mswaki.Unaambiwa kbl hWajaenda kukutana na mteja wanakunywa kwanza nyagi..so mwingine anakaa upande m1 anakua anaongea km mashwetwain vile yanavyoongea..hahaahha..wenyew kazi yao ni kununua njiwa..walikua wanaletewa kuku wanazila had ham inakata ..unaambiwa kigambon wamejaa balaa😂😂😂😂😂😂💃💃💃💃💃💃
ngoja kwanza rafiki, naona umeninywesha chai asubuhi na mapema kabla hata sijapiga mswaki.
umesema walikuwa wanawala alafu wana wapa mimba? 😂
sasa swali wanakuja wakiwa siku za hatari ama? yaani hapo ndipo nimeshituka it cant be a coincident (sijui nimepatia hicho kimalikia)?Mdada anakuja ana shida ya uzaz..ss anapewa dawa anaingiziwa sehem za siri...anatombw....baada ya mwezi mteja anakuja kushukuru amepata mimba (aiaamini dawa imefanya kazi)upo?
sasa swali wanakuja wakiwa siku za hatari ama? yaani hapo ndipo nimeshituka it cant be a coincident (sijui nimepatia hicho kimalikia)?
Umeshinda. naelekea kule kwa wafugaji na wakulima sijui kama nitapata jipya hukoPoint yangu ni 1..wateja wanawake wote walikua wanawala...yaan piga ua galagalaza lazima uliwe..ukiaminishwa unatolewa nux..sijui unapewa dawa kupitia body to body.. unaambiwa walikua wanarudi kuleta mitejesho yenyewe wana mimbaaa.hehehehe.. ....huenda walikua wanaambiwa waje mara kwa mara
Njoo inbox nikusaidie na yeyote mwenye shida kama wwUsilete injili hapa tuna imani tofauti
Kwa anaefaham mganga yoyote wa kienyeji ambae ni FUNDI naomba anielekeze hata pm please, Nina shida tena kubwa sana na ni mda mrefu nateseka.
Awe maeneo ya dar,pwani au morogoro
Nitashukuru kwa msaada.asanteni