Msaada: Mganga wa kienyeji anahitajika

Msaada: Mganga wa kienyeji anahitajika

Nipe Kavu

Senior Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
115
Reaction score
181
Usilete injili hapa tuna imani tofauti

Kwa anaefaham mganga yoyote wa kienyeji ambae ni FUNDI naomba anielekeze hata pm please, Nina shida tena kubwa sana na ni mda mrefu nateseka.
Awe maeneo ya dar,pwani au morogoro

Nitashukuru kwa msaada.asanteni
 
Kama utaweza kupokea ushauri wangu... Pokea sasa! Hapa utakutana na madalali wa ulozi tuu... Na kuishia kupigwa... Kama una tatizo serious liweke hapa nikusaidie bure... Huko unakotaka kwenda utaishia kupigwa na kuongeza tatizo
 
Na wewe ni wale wale , mbwembwe nyingi hauna kitu
 
Kama utaweza kupokea ushauri wangu... Pokea sasa! Hapa utakutana na madalali wa ulozi tuu... Na kuishia kupigwa... Kama una tatizo serious liweke hapa nikusaidie bure... Huko unakotaka kwenda utaishia kupigwa na kuongeza tatizo
Wako waganga wanaofanyia kazi swala la mtu na linarekebshika kabsa....siyo wote ni wahuni kama comment ilivyoandikwa!! Anyway kila mtu aamini kivyake sitaki kusahihishwa!!
 
Sumbawanga kuna babu yangu ni hatari basi tu
 
Kama utaweza kupokea ushauri wangu... Pokea sasa! Hapa utakutana na madalali wa ulozi tuu... Na kuishia kupigwa... Kama una tatizo serious liweke hapa nikusaidie bure... Huko unakotaka kwenda utaishia kupigwa na kuongeza tatizo
Mkuu..kesho nitakuwa piemuni kwako.
 
Back
Top Bottom