msaada:mganga amenipa dawa ya kurudiana na mpenzi lakini kila mwanamke ananipenda

Hahahaha ila nahisi lazima kuna watu wanawapiga tu vinginevyo wangekuwa wameacha. Namba zetu sijui wanazipata wapi.
Mie siku ya Kwanza nilishituka nakusema waganga wapi na wapi wala sikujibu nikajua kakosea na sikuifuta baada yasiku zikaanza na nyingine hapo ndipo nikagundua kuwa ni majanga vyuma vimekaza hatari
 
Msalimie mganga wako
Muulize kama ana kabinti kazuri kazuri anipe contact nikasalimie.


Magu baba tunyooshe tu naona waganga wanazidi kuongezeka
 
Mie siku ya Kwanza nilishituka nakusema waganga wapi na wapi wala sikujibu nikajua kakosea na sikuifuta baada yasiku zikaanza na nyingine hapo ndipo nikagundua kuwa ni majanga vyuma vimekaza hatari
Hahahaha mpaka awamu hii imalizike tutakutana na vituko vingi sana. Ila wabongo ni noma sana kila siku wanabuni mbinu mpya kweli vyuma vimekaza
 
We endelea tu kuwatafuna acha kufanya kilichokupeleka. Ukidisco utakuja tena kulalamika huku.
 
Ubarikiwe MSHANA JR."wana heri wanyooshao njia ya vipofu,wala watitake kuwapoteza"

Kweli hapa ndipo ninapo amini kuwa "roho itendayo dhambi ndio itakayo kufa" kutoka 5:6-7 inasema hivi.

"Mimi ni BWANA,Mungu wako niliye kutoa katika nchi ya Misri,katka nyumba ya utumwa 7.Usiwe na miungu mingine ila mimi.

Ushauri,
1.Okoka kikwelikweli na usiigize,ili kuondoa uhalali wa kumilikiwa na madhabahu ya mungu asie hai.

2.Omba toba kwa Mungu tumia warumi 3:23

4.Omba msaada wa damu ya Yesu kulipa deni/kuwa fidia ya damu ya ile madhabahu ili inene mema tumia waebrania 12:24

5.Omba baraka ndani ya agano ktk maisha yako.Hesabu 22:6 na 12

6.Simama km kuhani kwa Mungu huku ukibeba damu yako mwenyewe ibarikiwe na kukataa laana za kule kwa mganga ambazo hupewa ukivunja masharti.tumia Mithali 26:2

7.Yona 4:2.na km ulivoomba ushaur wa kuabu miungu mingine ukanyimwa,ukaamua kwenda mwenyewe tafuta ushaur wa kujikomboa pia.
 
Ushirikina ni dhambi na laana.Usirudie tena kwenda kwa waganga。
 
Back
Top Bottom