msaada; meno ya arusha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada; meno ya arusha.

Discussion in 'JF Doctor' started by Going Concern, Dec 18, 2011.

 1. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  heshima kwenu ndugu zangu!!!
  namchumba wangu toka pande za arusha, nampenda sana, na kama mungu akipenda very soon atakua mama watoto, ila anameno ya arusha(yameungua). sio kwamba yananiboa ila kama kuna dawa ningependa mnisaidie coz ata yeye anapenda sana meno meupe. shukrani ndugu zangu.
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,987
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Mkubwa kwani wewe una makazi hapa A town?????????????

  Bila shaka vitengo vipo kwani pale Njiro kuna hosptali moja ya kanisa ila inafanyaga kazi isipokuwa jumamosi tu na hata pale Kwa Ngulelo kabla ya kufika ile ofisi ya wale mafsadi wa sisiem mkono wa kushoto kama unatokea mjini Arusha na bila shaka utakuwa umepata huduma utakayo mkubwa wangu:
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,963
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Nenda SDA njiro au Hapo Mbele ya kwa mrefu kama unaingia town.

  Dakika sifuri tu yatakuwa meupe
   
 4. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  mi niko dar,, ila thnks sana ndugu, mungu akuzidishie .........!!!
   
 5. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 790
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Whitedent herbal is concerned!!! 1*3
   
 6. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  meno ya arusha haaaaaaa haaaaaaaaaa
   
 7. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Kichwa ngumu kuelewa au dhihaka?
   
 8. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,149
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Natafuta sehemu watakayobadili yangu meupe yawe kama ya kiarusha.
  Nayapenda sana mie
  OTIS
   
 9. Change_it

  Change_it JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mnunulie grills atapendeza kinoma
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,982
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Msafirishe sasa aende huko wanako kuelekeza.
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Dec 20, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,260
  Likes Received: 22,918
  Trophy Points: 280
  Wana Arusha meno yao mbofu mbofu.
   
 12. vengu

  vengu JF-Expert Member

  #12
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  Meno Chiki si arusha tu bali hata geita,singida na mikoa mingine yenye madini flani hivi.
   
 13. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #13
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Nilikuwa sielewi yanatambulika vipi,ila nimeshangaa kuona muanzisha thread kayaita meno ya Arusha na kila mtu kayatambua; kama hii thread ningekuanimeanzisha mimi ningeyaita meno yaliyoathirika na maji ya arusha. usinielewe vibaya
   
Loading...