Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
wakuu leo nimeiwasha simu yangu Tecno p5 halafu nikakutana na hiyo miujiza, inaniambia ni format memory yangu wakati nina vitu vyangu vya muhimu mno!! Wakuu naombeni alternative way ya kuactivate memory yangu bila ya kupoteza data zangu kama itawezekana.