Msaada: Mdogo wake ameibiwa ada ya shule akiwa benki

Msaada: Mdogo wake ameibiwa ada ya shule akiwa benki

Hapa ndio mahala pa kuanzia.
Omba kuonana na branch manager, anaweza kukuelewa na kukupa msaada stahiki.
Mwl.RCT ameongea vizuri.

Kama mdogo wako hakuchezei, basi aende kwenye benki husika na aombe CCTV camera. Kama jamaa aliyemuibia alideposit hela, details za account zitaonyesha majina ya mhusika na namba zake za simu.
Naunga hoja mkono
 
Zaidi ya laki 8,usawa huu unamshikisha mtoto wa shule huyo jamaa kilaza acha akili imkae siku nyingine akome
 
Hako ka kike katakua kameibiwa kweli, wizi wa namna hiyo upo sana mkuu kuna jamaa mwaka jana alipigwa 1.5M ya ada akiwa benki h
 
Kabetia huyo na draw ya el clasicco ndio itakua imesepa na hyo pesa,dogo alimpa madrid win akaweka laki saba ikatoka milion 2.5
Shemeji yako alibetia ada ya chuo,watu tuko msibani tunajua mtu yuko chuo kumbe yuko mtaani anabeti na kula bata hahaha baba mkwe wako alimuonesha kazi
 
Hahaha hata ukipiga pesa hairudi hapo,,betting ni mbaya sana aisee
Yule dogo sasa akawa anasema eti alikuwa anaenda benki kulipa hiyo ada kabla hajafika akakutana na watu wakamsemesha akajikuta amewapa hela yote heheheh mzee akachanganya akili akaona hapa kapigwa changa la macho,dogo alipata kibano cha mwaka mpaka akasema ukweli kuwa kabetia....na hapo ndo kichapo kikawa ndo kama kinaanza
 
Back
Top Bottom