Msaada: Mdogo wake ameibiwa ada ya shule akiwa benki

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,391
9,665
Nina rafiki yangu amempatia mdogo wake hela ya kulipa ada zaidi ya laki 8.

Alipoingia benki kwa ajili ya kulipa hiyo ada na wakati anajaza fomu za kuwekea (Deposit slip) hela wajanja wakamuibia hiyo hela kutoka kwenye mkoba wake.

Kuna namna anaweza akaipata? Maana wizi umefanyika ndani ya benki.

Nimejaribu kumshauri aende hapo benki akaombe CCTV footage ili aweze kuona hilo tukio.

Mwenye uelewa na hayo mambo tafadhali.
 
Mwl.RCT ameongea vizuri.

Kama mdogo wako hakuchezei, basi aende kwenye benki husika na aombe CCTV camera. Kama jamaa aliyemuibia alideposit hela, details za account zitaonyesha majina ya mhusika na namba zake za simu.
Watoto wa siku hizi wajanja wajanja sana; mimi school fees nalipa mwenyewe; wazazi wengi wamelizwa na hawa madogo. Don't trust these young people 100%; mjini hapa.
 
Watoto wa siku hizi wajanja wajanja sana; mimi school fees nalipa mwenyewe; wazazi wengi wamelizwa na hawa madogo. Don't trust these young people 100%; mjini hapa.
Ni kweli FUSO watoto wamekuwa wajanja siku hizi.

Hii issue inatakiwa mtu tofauti aifuatilie na sio mdogo wake.
 
Hata akipata hiyo CCTV footage kumpata huyo mwizi asahau labda awe mwizi mjinga.
 
Back
Top Bottom