Tempest
Senior Member
- Apr 26, 2022
- 192
- 296
Habari,
Naomba kuuliza nikitaka kufanya checkup ya magonjwa ya moyo niandae kiasi gani hospital maan Sina bima na hospital ipi ni poa zaidi au ipi ni poa na gharama zake ni za kawaida ambazo mtu anaweza kuzikudu kiurahisi au daktari unayemfahamu n.k
Maana nna dalili nying zinazoashiria Hilo tatizo pia ukizingatia Kuna family history ya Hilo tatizo Kwa mzee , Sasa nataka kuwah mapema kabla haijakuwa ishu nikawapa tabu ndugu ambaonwao wenyew tu wanantegemea mm