Juzi nimenunua hii simu ya huawei y300 ila cha kushangaza kutoka tigo ila inanisumbua. Ukiongea na mtu baada ya sekunde kadhaa unakuwa hakusikii...mnanisaidiaje wakuu?
Nami ilinisumbua sana, nikalazimika kupitia mitandao na nikapata suluhu moja iliyosolve hilo tatizo kwenye simu yangu kama hiyo hiyo ya Huawei y300, nalo ni kwamba kama umeingiza programmes mbili za Viber na Watsupp husabaisha tatizo hili.
Cha kufanya ondoa programme moja wapo kati ya hizo na tatizo litatoweka kabisa, mie niliondoa Viber ikabaki Watsupp na tatizo likatoweka kabisa. Pia nimewasaidia watu wengi ambao walikuwa na tatizo kama hilo na mie kama nilivyosema nililiona kwenye mitandao na kama sijakosea ni Huawei India, mtaalam kihiyo mmoja alitoa hayo maelezo kwa kucomment kwenye hilo tatizo na watu kupeleka feedback kwamba tatizo limeondoka na ndiyo nami nikayabeba kama yalivyo na yalipotatua tatizo langu na ya wenzangu sijataka kufuatilia tena kitaalam zaidi.
Jaribu na utuletee feedback ndugu yangu

Alaaa kumbeee