elvis richard
Senior Member
- Dec 6, 2014
- 195
- 205
Hiyo mashine haijaandikwa horse power ila imeandikwa tu kiwango cha umeme ambayo ni 240, sasa nashindwa kujua kama ina nguvu kubwa maana mi pia nimezoea kuona mashine nyingi zimeandikwa horse power labda 3000 na kadhalika. Sasa hii imeniacha kidogo.Tupe jina na model. Technology inakimbia sana.
Ila ninavyojua, kwenye magari mfano, Tesla haitumii wese ila ina HP.
BTW, umeanza lini kumuamini mfanya biashara.
Umeulizwa model bado umerudia tena maelezo ya awaliHiyo mashine haijaandikwa horse power ila imeandikwa tu kiwango cha umeme ambayo ni 240, sasa nashindwa kujua kama ina nguvu kubwa maana mi pia nimezoea kuona mashine nyingi zimeandikwa horse power labda 3000 na kadhalika. Sasa hii imeniacha kidogo.
Ngoja nifike dukani nipige picha kisha niwatumie wakuu labda tunaweza elewanaHow comes kifaa cha umeme kikose specification ya power. Check vyema mkuu hakuna sehemu walipo-specify watts ngani?
HP ni unit to ya power. Inaweza kua wameweka in watts.Hiyo mashine haijaandikwa horse power ila imeandikwa tu kiwango cha umeme ambayo ni 240, sasa nashindwa kujua kama ina nguvu kubwa maana mi pia nimezoea kuona mashine nyingi zimeandikwa horse power labda 3000 na kadhalika. Sasa hii imeniacha kidogo.
Nawaletea mkuu, ondoa shakaUmeulizwa model bado umerudia tena maelezo ya awali
Bosi ,wapi naweza pata mashine nzuri ya mtumba!?Mashine mengi kama ni ya ki china huandikwa kw. Kv haandiki h.p.
Kama ni india lazma waandike nakushauri angalau ianzie hp 3 kwenda juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtumba labda uagize kwa hao wanaoletaga vitu used nje hivi hivi dukani hupatiBosi ,wapi naweza pata mashine nzuri ya mtumba!?
ukishajua voltage unaweza kukokotoa hadi ukapata HP ya machineTupe jina na model. Technology inakimbia sana.
Ila ninavyojua, kwenye magari mfano, Tesla haitumii wese ila ina HP.
BTW, umeanza lini kumuamini mfanya biashara.
Wape somoo..Unataka kujua horsepower ya nini wakati hiyo ni electrical kama ulivyosema
kama ingekuwa inendeshwa na engine yake ndio ungehitaji kujua horsepower
horsepower ni mechanical power
Kama ni mashine ya kuoshea magari kitu muhimu unahitaji kujua Pressure (N/m, Bar, pound per square inch psi, n.k)
Ungesoma science kama sekondari ya form 4 ingetosha , haya ungekuwa unakokotoa tu kichwani
Voltage=240v
Current = angalia tena label utaona rating ya current in Amp, kwa mfano 13A
Power= V x I = 240 x 13 = 3120 watts
1 watt = 0.00134102 horsepower
3120watts x 0.00134102 = 4hp
Huu ni mfano, sio halisia sababu 13Amp fuse haitakiwi izidi 3000watts, hiyo machine inaweza kuwa inavuta umeme mwingi zaidi ya 13Amp
Manina.....Unataka kujua horsepower ya nini wakati hiyo ni electrical kama ulivyosema