MSAADA: Mama kabadilika baada ya kuwa Mlokole

pole sana ila muombeena ongea naye kwa upendo halafu nitumie jina lake kamili nimfungie maombi ya siku 3 atabadilika na kuwa mama bora
Nashukuru kwa ushauri wenu wapendwa ila Nina mtihani mgumu, mama yangu alikuwa muumini wa kawaida sana! Sasa tangu ameingia makanisa hayo anarudi vumbi tupu, nikiongea nae kwa simu ni jina la yesu mwanzo mpaka mwisho wa maongezi, hata sielewi kwa kweli, ila nashukuru sana kwa kunitia moyo.
 
Uzoefu kidogo nilio nao ni kwamba mtu anapoingia kwenye 'hizi imani', juhudi zozote mtakazokuwa mnafanya 'kumkomboa' zitapelekea yeye kujichimbia zaidi huko ili 'kukemea roho zenu mbaya'...
Kwa kiasi fulani method ambayo inafanya kazi, ni kuonyesha kumsapoti (sio kwa maneno), bali kwa kuwa karibu nae, kumpenda zaidi, kutumia mda wowote utakaopatikana kustorisha nae, akileta stori za kushawishi uingie ulokoleni, usipinge, msikilize, then kaa kimya, au mwambie aendelee kukuombea ili siku ukifunuliwa uingie humo (kimoyo moyo u
najua kuwa hutaingia), nk...
Lengo la kufanya hivi ni kumjengea hali kuwa nyumbani kuna 'kampani', na ni mahali pa furaha kwake. mda si mrefu (atakapopata frustration huko), atapakumbuka nyumbani na 'kurudi kundini.
But mkimtreat kama 'aliyepotea', mjue kwamba atazidi kupotea.
By the way, kwa hali ya kiuchumi nyumbani kwenu, it is likely mama ameenda huko out of frustration za aina fulani. Nyumbaza matajiri mara nyingi watu wako 'bize' na hazina furaha...

nyie ndo devil worshipers mara nyingi mnatake actions pale mtu anapo okolewa na Mungu kutoka dhambini lakini wakati anafanya ufuska, ulevi, uongo, wizi na dhambi nyingine hamtake any action to rescue her its just okey but there she discover turning point you start to insult and oppress her without knowing its time wastage cause you will never quench the work started by Jesus Christ ''if she is on the right path'' trust me or not she will be the gate for you all to enter into the right church and am the one who via the same way but now all eyes on me cause am totally converted into the new creature and am enjoying the life of salvation,
so please join your mother if she is on the right path and not let any one to decide for you any family matter as that without a personal and core diagnosis out from feelings and emotions!!!!
 
Nashukuru kwa ushauri wenu wapendwa ila Nina mtihani mgumu, mama yangu alikuwa muumini wa kawaida sana! Sasa tangu ameingia makanisa hayo anarudi vumbi tupu, nikiongea nae kwa simu ni jina la yesu mwanzo mpaka mwisho wa maongezi, hata sielewi kwa kweli, ila nashukuru sana kwa kunitia moyo.

How mbona sikuelewi sokwe umesema nyie ni wakatoliki na mama akikupigia simu ni Yesu-Yesu sa kuna ubaya gani kama wewe ni mkristo on that name, you have to check-up yourself on your spiritual condition cause people who go worldly you focus much worldly without caring the life after this [internal-life] and if you find yourself uncomfortable with the name 'Jesus Christ' trust me or not you must have critical spiritual illness and i think your mum discover the same that's why she is now pressing-on truth and that the Truth shall make her Free!!:amen:
 
nyie ndo devil worshipers mara nyingi mnatake actions pale mtu anapo okolewa na Mungu kutoka dhambini lakini wakati anafanya ufuska, ulevi, uongo, wizi na dhambi nyingine hamtake any action to rescue her its just okey but there she discover turning point you start to insult and oppress her without knowing its time wastage cause you will never quench the work started by Jesus Christ ''if she is on the right path'' trust me or not she will be the gate for you all to enter into the right church and am the one who via the same way but now all eyes on me cause am totally converted into the new creature and am enjoying the life of salvation,
so please join your mother if she is on the right path and not let any one to decide for you any family matter as that without a personal and core diagnosis out from feelings and emotions!!!!

Am new here,ila sidhani its right kumuita mtu a devil worshipper.ujue tatizo moja kubwa la waafrika,ni wavivu kusoma vitabu so hata biblia wengi wetu hatuijui.And binadamu ukiweza kugusa emotions zake,ni rahisi kugusa imani yake ukampeleka popote,and its what most churches we hear about do.Jina la Yesu halitangazwi tena,saivi ni majina ya wachungaji,people are popular than Jesus himself!most people go to church sio kusikia neno la Mungu but kupata releif ya matatizo yao.mtoa mada kasema kwao wakatoliki,kwani catholics wanatangaza jina la shetani?huwezi kuwa saved kikatoliki.coz mi najua salvation is a personal issue sio kitu cha jumuiya kwamba mpaka uende kanisa flani ndo Yesu yupo.Jamani!!huu uvivu wetu wa kumtafuta Mungu binafsi ndo unatupelekea kuhangaika ovyo.na ukiangalia its possible huyo mama anaface matatizo,either home au kazini au with friends,so kafuata releif huko,coz kwanini leo hii amtenge mumewe na kumuona mchafu.ndo biblia inavoagiza kweli??huko mbinguni huko jama..mh!the true gospel ni neno lake(bible) na sio kanisa la fulani au fulani.ukiisoma,all answers na mwanga uko humo.ukisubiri mchungaji flani akusomee kisha asummarise anavojua yeye ndo mwanzo wa kupotea..dear mtoa mada,mama alishike neno na sio kanisa flani.
 
Kuna tafiki yangu alikuwa analalamika kwamba Mama yake kila kipato anacho pata anakipeleka kanisani. Yaani anaweza akampigia mwanae kwaba anahitaji la pesa mwisho wa siku akapeleka kanisani.
 
pole sana ila muombeena ongea naye kwa upendo halafu nitumie jina lake kamili nimfungie maombi ya siku 3 atabadilika na kuwa mama bora
Pokea like 10000 yaani umefanya jambo zuri sana , naomba nikutie moyo tu hata kama majibu yakichelewa endelea kumuombea tu dear. Manake hiyo ni vita si mchezo. Yaani mama wa watu wamekosa kumuonyesha Yesu wao wamemchanganya na inaonekana hawana msaada . Haya mambo ya kumwambia mtu flani mchawi yamekaa kiuganga zaidi kwani nimekaa kwenye huduma for almost 15 years. Kuna watu wengi wanachanganya hisia , mazoea na pengine husikiliza sana taarifa ya pepo. Mtu anapagawa anasema mimi nimetumwa na mumewe sasa hapo inapaswa wewe muombaji usitoe nafasi ya majadiliano kwani pepo ni muongo na baba wa uongo, ni kulitimua kwa kwenda mbele.Natamani kama ningemtembelea mama huyu lkn niko mbali sana na sitarajii kufika mujini hivi karibuni maana huduma hizi hutakiwi kutuma mtu.
 
nyie ndo devil worshipers mara nyingi mnatake actions pale mtu anapo okolewa na Mungu kutoka dhambini lakini wakati anafanya ufuska, ulevi, uongo, wizi na dhambi nyingine hamtake any action to rescue her its just okey but there she discover turning point you start to insult and oppress her without knowing its time wastage cause you will never quench the work started by Jesus Christ ''if she is on the right path'' trust me or not she will be the gate for you all to enter into the right church and am the one who via the same way but now all eyes on me cause am totally converted into the new creature and am enjoying the life of salvation,
so please join your mother if she is on the right path and not let any one to decide for you any family matter as that without a personal and core diagnosis out from feelings and emotions!!!!
Just another frustrated...
 
Just another frustrated...

name whatsoever but the life its mine am comfortable on how i am, cant force you or any either to live like i am, due to that cant understand on how am frustrated while am experiencing glory!!! hahahahaaa lol!!!
 
Medically speaking ... Kuna kitu inaitwa Mono Amine Oxidase Inhibitors ( MAOI)
As you age MAOI zinaongezeka .. MAOI zina destroy Catecholimes " dopamine , Norepinephrine, seretonin"

Catecholimes ni directly proportion with depresion .

Your mom she is depressed .. ndio maana kaenda kwenye hayo makanisa at list kupata comfort . Anahitaji counseling au mpelekeni hospital apewe antidepresants .. she will do fine..

Totally not her fault msimtenge , anahitaji zaidi msaada wenu na ukaribu wenu
 
Am new here,ila sidhani its right kumuita mtu a devil worshipper.ujue tatizo moja kubwa la waafrika,ni wavivu kusoma vitabu so hata biblia wengi wetu hatuijui.And binadamu ukiweza kugusa emotions zake,ni rahisi kugusa imani yake ukampeleka popote,and its what most churches we hear about do.Jina la Yesu halitangazwi tena,saivi ni majina ya wachungaji,people are popular than Jesus himself!most people go to church sio kusikia neno la Mungu but kupata releif ya matatizo yao.mtoa mada kasema kwao wakatoliki,kwani catholics wanatangaza jina la shetani?huwezi kuwa saved kikatoliki.coz mi najua salvation is a personal issue sio kitu cha jumuiya kwamba mpaka uende kanisa flani ndo Yesu yupo.Jamani!!huu uvivu wetu wa kumtafuta Mungu binafsi ndo unatupelekea kuhangaika ovyo.na ukiangalia its possible huyo mama anaface matatizo,either home au kazini au with friends,so kafuata releif huko,coz kwanini leo hii amtenge mumewe na kumuona mchafu.ndo biblia inavoagiza kweli??huko mbinguni huko jama..mh!the true gospel ni neno lake(bible) na sio kanisa la fulani au fulani.ukiisoma,all answers na mwanga uko humo.ukisubiri mchungaji flani akusomee kisha asummarise anavojua yeye ndo mwanzo wa kupotea..dear mtoa mada,mama alishike neno na sio kanisa flani.

only that you have seen on the rest of the paragraph, beside we are varying in potential evaluation!!!
 
nyie ndo devil worshipers mara nyingi mnatake actions pale mtu anapo okolewa na Mungu kutoka dhambini lakini wakati anafanya ufuska, ulevi, uongo, wizi na dhambi nyingine hamtake any action to rescue her its just okey but there she discover turning point you start to insult and oppress her without knowing its time wastage cause you will never quench the work started by Jesus Christ ''if she is on the right path'' trust me or not she will be the gate for you all to enter into the right church and am the one who via the same way but now all eyes on me cause am totally converted into the new creature and am enjoying the life of salvation,
so please join your mother if she is on the right path and not let any one to decide for you any family matter as that without a personal and core diagnosis out from feelings and emotions!!!!

Right path ya kuwachukia wengine?
Right path ya kujitenga na familia yake?

Tujikumbushe Yesu ambaye ni NJIA, KWELI na UZIMA alifanyaje;
Je aliwakwepa watenda dhambi? Yule mama aliyekamatwa akizini, Zakayo mtoza ushuru.

na hujafikiria what if she is in the wrong path??????
Sidhani kama Tuko anawasupport watu wakiwa wazinzi au walevi na kuwaponda wanaoshika mafundisho ya Mungu kwa maneno na matendo. (note sijatumia neno walokole maana si wote wanaouishi Ukristu ila ni wengi wanaojiita kwa maneno matupu kuwa wakristu).
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa wanajf naombeni ushauri, mama yangu ameingia kwenye makanisa ya kilokole japokuwa familia nzima ni wakatoliki, tangu ameingia kwenye makanisa hayo maisha yake yamebadilika sana, hana ukaribu na mumewe yaani baba yetu! Kwa mfano walikuwa wanasali pamoja asubuhi na jioni pamoja sasa haiwezekani tena kwani Ana amini baba yangu ni mchafu! ashirikiani na ndugu zake yaani wajomba na shangazi zetu japokuwa wamefanya jitihada kubwa kujaribu kutafuta muda kuzungumza nae imeshindikana! Kwani anatoka nyumbani saa 11 alfajiri na kurudi usiku.

Baba yetu amekuwa kwenye kipindi kigumu sana kiasi cha kuniomba kuzungumza nae kwani Mimi ni mtoto wa kwanza kwenye familia yetu nimeshindwa kuzungumza nae kwa sasa kwani naishi Japan na familia yote ipo tanzania, natarajia kurudi nyumba kwa likizo fupi mwezi wa 12, kuna kipindi Mdogo wangu alikuwa anasumbuliwa na tumbo akampeleka kwenye maombi akaonekana Ana mapepo yaliyokuwa anadai baba yetu ndie anamloga bwana Mdogo!

Nilipopata taarifa hizo nilishtuka sana nikamuomba Mdogo wangu aende hospital kwa uchunguzi bahati nzuri Nina rafiki yangu tulisoma pamoja ni dr wa matumbo pale muhimbili, baada ya kufanyiwa uchunguzi alionekana na bacteria h. Pylori ambao walisababisha apate ulcers pia, baada ya matibabu amepona kabisa! Baba yangu ni mfanya biashara mkubwa sana na msomi Sio Kwamba najisifia ila ndio ukweli, alifanya kazi kwenye jumuia ya Africa mashariki miaka ya 80, akaamua kuacha kwa hiyari yake na kijiingiza kwenye biashara tangu miaka hiyo, anafanya biashara ulaya na Middle East na marekani, baba yangu anaweza kuwa mchawi?

Japokuwa habari hizi hazijamfikia Kama zikimfikia anaweza akapata heart attack Kama Sio stroke, kuna mama aliyemuintroduce mama yangu kwenye makanisa haya ya kilokole alikwisha fariki na cancer ya ziwa kwani alikataa matibabu ya hospital! Napata Shaka ikitokea mama kuumwa huenda akakataa Kwenda hospital pia au kuficha maradhi yake, poleni kwa post yangu ndefu, naombeni michango yenu.
how old is your mumy ?nauliza hivi kwa nia nzzuri tu! na je !anafanya kazi au ni mama wa nyumbani?
nakumbuka baba yangu alimpiga sana mama yangu one day baada tu yakugundua anawapeleka wadogo zangu kwenye hayo makanisa (victorius church lile kule tabata bima likaamishiwa segerea)nilimuunga baba yangu mkono!ilibidi amkomeshe kabisa na akasema waendelee kwenda lutheran tu .huko kwingine watachagua wenyewe! nafikiri pia aliona mbali sana
Nakiri kwamba hay makanisa mimi hata sirushi mguu wangu hata kamna nini shida vipi sijui kakobe,mzee upako,gwajima wote hao ni wanafki na wafitini na wameshindikana kwenye makanisa mama na tamaa ya pesa nakukimbilia kufungua biashara zao-samahani kama nimemkwaza mtu.
hawa watu wana high level ya marketing ili kupata waumini wengi na wenye fweza na wakikujua mambo safi kila siku ibada itafanyika kwako na wakisha kusoma weekness yako ndio basi tena kama mama yakko watamjaza maneno ya uongo hasa wanawake ndio wanawataka watawajaza maneno weeeeee ili wakawashawishi na waume na watoto! usipokuwa makini au baba legelege unapelekwa huko uh mumeo ni mshirikina ndiko anapopata hela!oh anakuloga ameloga huyu!na at the end familia inasambaratika kabisa!
mimi ningekuwa baba yako ,ningempiga marufuku kwenda huko akiendelea namrudisha kwao.usipokuwa dicteta
 
Kuna tafiki yangu alikuwa analalamika kwamba Mama yake kila kipato anacho pata anakipeleka kanisani. Yaani anaweza akampigia mwanae kwaba anahitaji la pesa mwisho wa siku akapeleka kanisani.
na hili nitatizo kubwa ,pia wanawadanganya kadri unavvyotoa kikubwa ndio unapokea kikubwa .wakati mwingine nashindwa elewa watu wamefungwa na mdudu gani kichwani
 
nyie ndo devil worshipers mara nyingi mnatake actions pale mtu anapo okolewa na Mungu kutoka dhambini lakini wakati anafanya ufuska, ulevi, uongo, wizi na dhambi nyingine hamtake any action to rescue her its just okey but there she discover turning point you start to insult and oppress her without knowing its time wastage cause you will never quench the work started by Jesus Christ ''if she is on the right path'' trust me or not she will be the gate for you all to enter into the right church and am the one who via the same way but now all eyes on me cause am totally converted into the new creature and am enjoying the life of salvation,
so please join your mother if she is on the right path and not let any one to decide for you any family matter as that without a personal and core diagnosis out from feelings and emotions!!!!
nikikukuta umeingia mbinguni natoka ,hakuna watu wa dizaini hii watauona uso wa mungu!
 
name whatsoever but the life its mine am comfortable on how i am, cant force you or any either to live like i am, due to that cant understand on how am frustrated while am experiencing glory!!! hahahahaaa lol!!!
If that is the case, was it right to call me devil worshipper? Tatizo lenu mkishaingia kwenye hizo imani mnaaminishwa kuwa Yesu mmem-monopolize na hakuna watu wengine wanaoweza kuwa naye!!!... Kuwaona watu wengine ni devil worshippers kwa sababu hawasali kama wewe ndiyo kosa kubwa nyie "walokole" mnatakiwa kujiombea mliache...
 
pole sana mkuu ,hilo linalotokea kwenye familia yako nijambo lililowakumba familia nyingi....... haya madhehebu ya hovyo hovyo yanayoanzishwa hugeuza waumini wao kuwa watumwa wa kanisa na mabwana kanisa kwani imeonesha asilimia kubwa ya wanaojiunga nayo baadaye huwa kama wanamatatizo ya akili na uwezo wao wa kufanya maamuzi hushuka sana.

kukusaidia hebu mshawishi mama aje kukutembelea huko Japan abadili hata mazingira kidogo na kuongezea unaweza kumtafutia mtaalamu wa ushauri nasaha huko huko ikitokea amekubali mwaliko wako.
haya madhehebu ya hovyo hovyo hayajawahi kunifurahisha hata kidogo ,mengine yanatumia nguvu za giza badala ya mungu na mengine hutumia kiwango kikubwa cha kisaikolojia kuharibu akili za waumini wao ili wageuke kulinda maslahi yao.
 
na hili nitatizo kubwa ,pia wanawadanganya kadri unavvyotoa kikubwa ndio unapokea kikubwa .wakati mwingine nashindwa elewa watu wamefungwa na mdudu gani kichwani

wakati huo huo wanawataka muda wote wawe wameshinda humo kanisani ,sasa sijui hivyo vikubwa wanatafuta saa ngapi........... huwa siyapendi haya makanisa ya hovyo ,yanaharibu sana familia za watu.
 
Maada imenigu kwan nimejikuta nikiingia mtafaruku na uncle wangu kunilazimisha nihame dini yangu ya kkt kwenda ulokole nikamwambia Mungu tunayemwabudu ni mmoja me sijapotea familia imeingia umaskin mahitaji ya msingi tunakosa pesa yote inaenda kanisani hivyo itatulazim kuomba msaada kwa ndugu ili familia isiyumbe . Me nashauri simama pale ulipo usiyumbishwe na imani zingine Mungu ni mmoja
 
Wapendwa wanajf naombeni ushauri, mama yangu ameingia kwenye makanisa ya kilokole japokuwa familia nzima ni wakatoliki, tangu ameingia kwenye makanisa hayo maisha yake yamebadilika sana, hana ukaribu na mumewe yaani baba yetu! Kwa mfano walikuwa wanasali pamoja asubuhi na jioni pamoja sasa haiwezekani tena kwani Ana amini baba yangu ni mchafu! ashirikiani na ndugu zake yaani wajomba na shangazi zetu japokuwa wamefanya jitihada kubwa kujaribu kutafuta muda kuzungumza nae imeshindikana! Kwani anatoka nyumbani saa 11 alfajiri na kurudi usiku.

Baba yetu amekuwa kwenye kipindi kigumu sana kiasi cha kuniomba kuzungumza nae kwani Mimi ni mtoto wa kwanza kwenye familia yetu nimeshindwa kuzungumza nae kwa sasa kwani naishi Japan na familia yote ipo tanzania, natarajia kurudi nyumba kwa likizo fupi mwezi wa 12, kuna kipindi Mdogo wangu alikuwa anasumbuliwa na tumbo akampeleka kwenye maombi akaonekana Ana mapepo yaliyokuwa anadai baba yetu ndie anamloga bwana Mdogo!

Nilipopata taarifa hizo nilishtuka sana nikamuomba Mdogo wangu aende hospital kwa uchunguzi bahati nzuri Nina rafiki yangu tulisoma pamoja ni dr wa matumbo pale muhimbili, baada ya kufanyiwa uchunguzi alionekana na bacteria h. Pylori ambao walisababisha apate ulcers pia, baada ya matibabu amepona kabisa! Baba yangu ni mfanya biashara mkubwa sana na msomi Sio Kwamba najisifia ila ndio ukweli, alifanya kazi kwenye jumuia ya Africa mashariki miaka ya 80, akaamua kuacha kwa hiyari yake na kijiingiza kwenye biashara tangu miaka hiyo, anafanya biashara ulaya na Middle East na marekani, baba yangu anaweza kuwa mchawi?

Japokuwa habari hizi hazijamfikia Kama zikimfikia anaweza akapata heart attack Kama Sio stroke, kuna mama aliyemuintroduce mama yangu kwenye makanisa haya ya kilokole alikwisha fariki na cancer ya ziwa kwani alikataa matibabu ya hospital! Napata Shaka ikitokea mama kuumwa huenda akakataa Kwenda hospital pia au kuficha maradhi yake, poleni kwa post yangu ndefu, naombeni michango yenu.

Waache wafu wazikane wao kwa wao, ushakuwa mkubwa fata imani yako, namaanisha imani yako unayoiona inafaa achana na imani za kurithi! Mama kawaletea imani ya kweli uanashangaa shangaa. Tajiri kuona ufalme wa Mungu ni sawa na Ngamia kupenya kwenye tundu la Sindano. Ngamia anayetatajwa hapa sio mnyama. Unaelewa maana ya Ngamia?
 
Nina wasiwasi hutapata ushauri muafaka, na hata kama utaupata basi hautakuwa msaada kwako au mama yako.
Wengi watakuja hapa na kukashifu imani ya mama yako na kumuona kama mtu asiyefaa na kapotoka.
Hayo nimeyaandika kwa kutumia uzoefu tu wa kuwepo jamvini hapa muda mrefu na kuoanisha shauri zitolewazo na watu linapokuja suala la imani kali za Kikristo au Kiislamu.

Unajuwa watu wanadhani imani ni ukatoloki, uanglikana, ulokole, hali ya kuwa na dini yoyote ile,ushia, usuni uahmadya au ubudha pengine hata uzayuni imani ni moyo wako katika kutenda mema.
watu wanafikia kusema Yesu ni Mungu ina maana Mungu ni Mweupe? Mungu hana nywele za Kiafrika? Kwa hiyo utashangaa Muafrika akiambiwa Mungu ni Haile Selasie watu anashangaa kweli!

Ndo maana ukisoma dhana ya ukomunist utakuta inabashiri PEPO!
 
Back
Top Bottom