MSAADA: Mama kabadilika baada ya kuwa Mlokole

MSAADA: Mama kabadilika baada ya kuwa Mlokole

wakati huo huo wanawataka muda wote wawe wameshinda humo kanisani ,sasa sijui hivyo vikubwa wanatafuta saa ngapi........... huwa siyapendi haya makanisa ya hovyo ,yanaharibu sana familia za watu.
unakuta wanashinda humo lakini wanataka sadaka zao jumapil;i,mama anaondoka saa 11asubuhi anarudi saa tatu usiku eti kanisani hajui watotot walipotoka shule wamekula!wamefua nguo mosts hawazitunzi familia zao,
 
Waache wafu wazikane wao kwa wao, ushakuwa mkubwa fata imani yako, namaanisha imani yako unayoiona inafaa achana na imani za kurithi! Mama kawaletea imani ya kweli uanashangaa shangaa. Tajiri kuona ufalme wa Mungu ni sawa na Ngamia kupenya kwenye tundu la Sindano. Ngamia anayetatajwa hapa sio mnyama. Unaelewa maana ya Ngamia?
hizi za kwako ndio imani za wafu,
 
unakuta wanashinda humo lakini wanataka sadaka zao jumapil;i,mama anaondoka saa 11asubuhi anarudi saa tatu usiku eti kanisani hajui watotot walipotoka shule wamekula!wamefua nguo mosts hawazitunzi familia zao,

ndiyo ushangae hiyo ni imani gani inayovunja nyumba yako kwa ujumla ,yaani unakuta mtu kanisa ndiyo kila kitu.... wengine wanawatoto wadogo lakini anawatelekeza , Hell no kama ni huko motoni niende tu kama masharti ni kuwa muumini wa haya makanisa naamini kwenye upendo na kujenga mahusiano mema.
kuna mama alimtenga mume wake kabisa ,na baadae akawa anawachonganisha na watoto na baba yao kisa mzee alikataa kuwa muumini wa hilo kanisa lake.
 
Ishu za imani ni hatari, nakumbuka baba mmoja jirani alihamia kanisani fulani, alikuwa anarudi home weekend tu. Hela yote ilikuwa inaenda kwenye sadaka. Mke alikuwa mama wa nyumbani. Maisha yakawa magumu mama akaanza kupasua kokoto ili apate chakula cha watoto. Mwishowe mama yakamshinda kakusanya kila chake na watoto wake wakarudi kijijini. Baba kabaki kanisani. Chezeya imani wewe.,,
 
Hakuna MUNGU anayeshauri kuwachukia na kuwatenga wenzetu kwa kigezo cha kuwa wachafu. Huyu mama atakuwa hajapata mafundisho mazuri, inampasa yeye kumwombea mumewe na kuzidi kumpenda na sio kumtenga.
 
hata kama uko mbali wewe muombee tu Mungu anayeweza atambadilisha kabisa, tuzidi kuomba na kusali zaidi best
Pokea like 10000 yaani umefanya jambo zuri sana , naomba nikutie moyo tu hata kama majibu yakichelewa endelea kumuombea tu dear. Manake hiyo ni vita si mchezo. Yaani mama wa watu wamekosa kumuonyesha Yesu wao wamemchanganya na inaonekana hawana msaada . Haya mambo ya kumwambia mtu flani mchawi yamekaa kiuganga zaidi kwani nimekaa kwenye huduma for almost 15 years. Kuna watu wengi wanachanganya hisia , mazoea na pengine husikiliza sana taarifa ya pepo. Mtu anapagawa anasema mimi nimetumwa na mumewe sasa hapo inapaswa wewe muombaji usitoe nafasi ya majadiliano kwani pepo ni muongo na baba wa uongo, ni kulitimua kwa kwenda mbele.Natamani kama ningemtembelea mama huyu lkn niko mbali sana na sitarajii kufika mujini hivi karibuni maana huduma hizi hutakiwi kutuma mtu.
 
sEMA TU HUUPENDI ULOKOLE KWA SABABU HUJUI CHOCHOTE KUHUSU WOKOVU A.K.A KUMPOKEA BWANA YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO. WE UNGEULIZA TU NN MAANA YA ULOKOLE, UNGEPATA MAJIBU KWA KIREFU!!
eTI BABA YAKO HAWEZI KUWA MCHAWI KWA KUWA NI MFANYABIASHARA MKUBWA SANA????!!!! ANAFANYA BIASHARA ULAYA, MIDLE EAST NA MAREKANI SO HAWEZI KUWA MCHAWI!!!
mLETA UZI WEWE NI MUONGO TENA MUONGO MKUBWA, ETI ANATOKA SAA 11 ALFAJIRI NA KURUDI USIKU????!!!! PIA ILI TUWEZE KUKUSAIDIA TAJA NA HILO KANISA MF.KWA MAMA RWAKATARE, GWAJIMA, LUSEKELO, KAKOBE,MTUME NYAGA, GAMANYWA, KATUNZI, NABII FLORA etc
bABA YAKO ALIACHA KAZI JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI MIAKA YA 8O, FOR YOUR INFORMATION JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKA ILIVUNJIKA MIAKA YA 7O ENZI NA KENYATA, NYERERE NA NDULI IDD AMINI.​

hizi ni bangi za mchana na viroba alafu hujala :tulia mkuu au na wewe ni muumini wao!
.​


 
Ishu za imani ni hatari, nakumbuka baba mmoja jirani alihamia kanisani fulani, alikuwa anarudi home weekend tu. Hela yote ilikuwa inaenda kwenye sadaka. Mke alikuwa mama wa nyumbani. Maisha yakawa magumu mama akaanza kupasua kokoto ili apate chakula cha watoto. Mwishowe mama yakamshinda kakusanya kila chake na watoto wake wakarudi kijijini. Baba kabaki kanisani. Chezeya imani wewe.,,
yaani huwa wanawateka sana wanawake!na si kwakuwa mioyo yetu ni myepesi sana,na wapo wengi sana ,mimi kuna dada yetu mlezi mpaka leo tupo nae huko kijijini amejiingiza huko assembly of god mpaka tulioko mijini wanatuomba michango akitoka asubuhi atarudi usiku na ana watoto wadogo wanaosoma lol wanajipikia wenyewe mama ni saa mbiliau tatu usiku sitakagi kusikia wala kuona .kanisani ,mchungaji what ever sitaki mazoea kabisa nitoe sadaka niondoke sitaki mazoea.
 
Maada imenigu kwan nimejikuta nikiingia mtafaruku na uncle wangu kunilazimisha nihame dini yangu ya kkt kwenda ulokole nikamwambia Mungu tunayemwabudu ni mmoja me sijapotea familia imeingia umaskin mahitaji ya msingi tunakosa pesa yote inaenda kanisani hivyo itatulazim kuomba msaada kwa ndugu ili familia isiyumbe . Me nashauri simama pale ulipo usiyumbishwe na imani zingine Mungu ni mmoja

halafu unakuta hiyo familia ya hao mapasta wanaishi kama wafalme, watoto wanasoma shule zenye majina huku ninyi waumini mnajikakamua hadi tone la mwisho 'mkipanda mbegu'.

Hawashauri msaidie masikini, bali mtoe sadaka makanisani tu.
 
Hapo ndipo diniwakati mwingine huwa inaonekana ngumu, yaani kuna mtu akisha mjua Yesu, anaanza kuona wengine kama ni wachafu sana na yeye ndiye mtakatifu. Lakini Yesu alikuja kwa ajili yao waliokuwa wachafu. Cha mhimu hapo ni kumuombea ili aweze kuakisi ukristo halisi. Maana Biblia inasema "amri mpya nawapa", ambayo ni amri ya upendo. Sasa kama ni mtu ameokoka halafu hana upendo, Paulo anasema ujaposema kwa lugha zote kama huna upendo umekuwa kama shaba iliayo.
 
halafu unakuta hiyo familia ya hao mapasta wanaishi kama wafalme, watoto wanasoma shule zenye majina huku ninyi waumini mnajikakamua hadi tone la mwisho 'mkipanda mbegu'.

Hawashauri msaidie masikini, bali mtoe sadaka makanisani tu.
hapa ndipo sidanganyikagi kama ni kuzimu wacha niende tu.wanaweza kukufilisi hata tone la mwisho ,hutasikiakuwasaidia maskini hata siku moja!
 
Mlokole ninayemjua mimi, ni yeye pekee. Labda kwakuwa sijaamua kuwafahamu wengine, mimi nimetoa mfano tu na ndio maana nikasema sijui sana.
Kwani wewe una roho gani ya utambuzi mpaka uweze kuhukumu mlokole ni fulani na fulani sio mlokole? Kwani ulokole ni utakatifu? si tamko tu kwamba mtu yuko tayari kuuambata wema? hilo pekee laweza kumpa mmoja daraja juu ya mtu mwingine yoyote?
 
Sina sababu ya kuongopa wala hainisaidii! Mimi naishi Japan unaniuliza kanisa analosari nitalijuliwa wapi! Ni rahisi kwako kuandika na kuhukumu Kwamba ninasema uongo! Mama yangu alikuwa mfanya kazi serikalini aliumia akiwa kazini pesa zake zote alizolipwa Hakuna anayejua zimekwenda wapi! Baba yangu alimpatia pesa afanye biashara pesa zote zimekwenda! Tafadhali Kama huna cha kuchangia acha ila usiniambie nasema uongo, mimi ni mkatoliki sitohama Kwenda kanisa lolote, Kama uamini naishi Japan unaweza kunipigia kwenye simu yangu +818044441220, Kama wewe umepata wokovu ni juu yako, sihitaji kuongea na mama yangu mambo ya yesu kwenye simu maongezi yote! Wakati Nina mambo ya msingi ya kuzungumza nae, mimi ni mtu mzima naheshimu wazazi na natambua ugumu wa swala hili kwangu, nilisema mama aliyemtambulisha mama yangu kwenye kanisa Hilo amekwisha fariki kwa cancer ya maziwa, kwenye mkumbo huo huo wa mama kuna mzee mwingine amekufa na tb, Kama huna cha kuchangia acha ila usiniambie Kwamba nasema uongo, familia yangu yote inahangaika kumnusuru mama yetu bila mafanikio, wajomba, mashangazi, you don't how know how I feel and what my family is going through so please don't judge me,just wish me luck to rescue my mother, nakwambia mama yangu anatoka alfajiri saa 11 na kurudi usiku na amechoka hoi, ninaongea na baba yangu hata sauti yake kwenye mazungumzo ni ya unyonge, Kama ningeweza ningerudi nyumbani hata Leo isipokuwa siwezi kupata ruhusa ya muda mrefu mpaka nitakapokuwa likizo mwezi 12, ndio maana una hata michango yangu kwenye hii post yangu inakuwa Sio mingi kwasababu nakuwa kazini na tofauti ya masaa Kati yangu na wachangiaji.
 
Ni ukweli unachosema barnaba yaani tangu ameingia huko watu wote ni wachafu wana mapepo wakienda kumtembelea anawafukuza Kwamba wanakwenda kumloga matokeo yake Hakuna ndugu anayekwenda nyumbani, Inasikitisha sana, ni Kama mtu mwenye anxiety nafikiri kuna athari za kisaikolojia pia.
 
Back
Top Bottom