Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,227
Ofukozi popote wanapoweza saidiwa ku-reason pamoja panafaa kwa muda huu
Ila asianze kunyooshea mtu kidole, Kaunga ndoa ngumu jamani
Bora kwa wanawake wa sasa waliojiwezesha, ila wale wa kale akikumbana na abyusi hasa za kihisia walikuwa wanakufa nazo kimya kimya. Anaogopa kulalamika jamii haitamwelewa, utasikia wanasema 'yaani mmeo anakukumbuka kwa kila kitu afu unalalamika? una lako jambo'
Sijui kama nafasi ya kuridhishana(kufeel uwepo wa mwenzako ndoani) ilikuwa inapewa kipaumbele kivile, mie naona iko complicated sana hii. Haihitaji haraka wala majibu ya juu juu.
Na point ambayo mama ameshafikia anahitaji uelewa zaidi kuliko hukumu, wakimsumbua wanaweza jikuta mama kahama nyumbani anaenda kuishi chumba kimoja, hii ni kiakili zaidi.

Nimeupenda mchanganuo wako, na ndio maana counseling nzuri inatakiwa. Changamoto ni kumfanya huyo mama kwenda au hata kukubali hiyo counseling na ndio maana nikashauri aende kupatiwa hiyo counseling kwa mlokole ambaye kwa maoni yangu huwa ana dig kutafuta root causes ya matatizo mbali mbali.
Last edited by a moderator: