msaada: maji ya kisima!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada: maji ya kisima!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ze burner, Aug 21, 2011.

 1. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Habari wana JF.

  katika hali ya kujikwamua na tatizo la maji niliamua kuchimba kisima "open well" na kwa bahati nzuri maji yamepatikana, kwa muda sasa kinatumika. tatizo ni kwamba maji yake bado hayajatakata ie still kinatoa "milk/cloudy water. nimejaribu google inanipa majibu ya aquarium pamoja na pool water tu. jee ndugu zangu nifanyeje ili haya maji yawe kama ya bomba niweze kutumia kwa matumizi mengi zaidi? Msaada tafadhali.
   
 2. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Kwanza hongera kwa kuyapata maji.

  Sina utalaam sana na open well, je umechimba umbali gani mpaka ukayapata maji? Hakikisha tu isije ikawa ni juu juu maana yawezekana ikawa maji machafu unayopata. Peleka sample ya hayo maji ikapimwe maabara kama haina wadudu wa kusababisha magonjwa. Vilevile maji yapimwe ili kujua viwango vya madini mbalimbali kwenye maji hayo ili kujua kama yanafaa kwa matumizi ya binadamu e.g kunywa au kupikia.

  Kuhusu kuyafanya yawe meupe, tumia pampu iwe inayatoa nje mpaka yatakuwa meupe tu. Rangi ya maziwa inatokana na wakati wa uchimbaji.
  Inaweza kukuchukua siku mbili tatu mpaka maji yawe meupe, unatakiwa uyapampu nje mfululizo mpaka yatakate.

  Kama hali ya uchumi inakuruhusu itakuwa vizuri kama ukichimba "Bore Hole' kisima chako kitakuwa na usalama zaidi wa kiafya kuliko open well.
   
 3. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  thanx kwa ushauri. kisima changu kwa sasa kina urefu wa kama futi 40. sasa ngoja nitafute hiyo maabara kwa huku kwetu ili kuyatafiti.
   
 4. Willy

  Willy Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 78
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Maabara ya maji ikom ubungo opposite na Tanesco
   
 5. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Please ni PM ukipata report ya maabara. Futi 40 ni sawa na mita 12 hivi, pata kwanza majibu ya maabara.
   
 6. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  no P...
   
Loading...