Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
Kilo mbili mvuno mmoja au shina moja? Mvuno mmoja ni sawa na shamba moja ulilolima na kulivuna ni tofauti na shina moja.Salaam wadau!
Nimefanikiwa kukusanya mbegu za maharagwe makubwa yanayostawi mwaka mzima na huwa yanaota kwa kuzunguka kwenye mti (kama ilivyo kwa mazao ya passion) na hutoa maharagwe mengi kila mche wastani wa kilo mbili kwa mvuno mmoja.
Naomba mwenye kujua jina lake anihabarishe kwani ninayapenda sana ila kinachonisumbua ni jina lake.
Natanguliza shukrani!
Mnapotoa ushuhuda wa mwese- toeni pia na tabia za wenyeji. In short wenyeji wa mwese- ni wabinafsi na hawaingiliki.Katavi Kuna wiraya inaitwa mwese Kuna ardhi mzuri ila beba powerbank.
KumbeMnapotoa ushuhuda wa mwese- toeni pia na tabia za wenyeji. In short wenyeji wa mwese- ni wabinafsi na hawaingiliki.
Wana wivu sana kwa wageni...pia mazingira ya huko ni magumu kwa mgeni maana mambo huduma nyingi zinapatikana mtu akijisikia,iwe dukan au hotelini.Kumbe
Ni kama kigoma sisi wakuja tunapigwa vita sanaWana wivu sana kwa wageni...pia mazingira ya huko ni magumu kwa mgeni maana mambo huduma nyingi zinapatikana mtu akijisikia,iwe dukan au hotelini.
Pa kishamba sana sema shida zinatuzagaza sana.
Sahihi kabsa. Hata hivyo mwese- ni boda na kigoma so kule unakutana na kabila hizi÷Ni kama kigoma sisi wakuja tunapigwa vita sana
Kaka kwenye utafutaji hakunaga straight road. Ni kupambana kigumu ivyo ivyo.Mnapotoa ushuhuda wa mwese- toeni pia na tabia za wenyeji. In short wenyeji wa mwese- ni wabinafsi na hawaingiliki.
Infact tupo huko tunakaza trako mzeeKaka kwenye utafutaji hakunaga straight road. Ni kupambana kigumu ivyo ivyo.
Salute brotherInfact tupo huko tunakaza trako mzee
Pamoja mkuuSalute brother