Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Mwanza

Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Mwanza

Habari wana JF,
Kwa wale ambao wanalifahamu jiji la Mwanza vizuri, ni Maeneo au Mitaa gani ya kuishi (kupanga nyumba/chumba) ambayo yanalandana na sifa zifuatazo?:

1. Sio maeneo ya uswazi/uswahilini.
2. Hayana matukio makubwa ya wizi na vibaka.
3. Upatikanaji wa karibu wa huduma za kijamii na kiuchumi. (maji, kiosk, ..etc).
4. Inaweza kuwa nje ya mji ila isiwe mbali sanaa na mjini kivile.
5. Haikumbwi na mafuriko wakati wa mvua.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafute nikupe nyumba bomba isamilo jieani na pub maarufu ya the Joint maeneo tulivu ya isamilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana JF,
Kwa wale ambao wanalifahamu jiji la Mwanza vizuri, ni Maeneo au Mitaa gani ya kuishi (kupanga nyumba/chumba) ambayo yanalandana na sifa zifuatazo?:

1. Sio maeneo ya uswazi/uswahilini.
2. Hayana matukio makubwa ya wizi na vibaka.
3. Upatikanaji wa karibu wa huduma za kijamii na kiuchumi. (maji, kiosk, ..etc).
4. Inaweza kuwa nje ya mji ila isiwe mbali sanaa na mjini kivile.
5. Haikumbwi na mafuriko wakati wa mvua.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo uishi Kiseke PPF pazuri sana
 
kwa miongozo ya wanazengo humu ndani hadi sasa, nimebahatika kuzipigia tiki sehemu zifuatazo (kifuatacho baadae nkuja kufanya physical survey)

Mwananchi,
Nyasaka,
Bwiru,
Maduka tisa,
Isamilo.

vp hapo lisy yangu mkuu niko vizuri..au kuna nimezingua kutokana na matakwa yangu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokana na matakwa yako hapo bakiza opts 3 Bwiru, Maduka Tisa na Isamilo
 
Habari wana JF,
Kwa wale ambao wanalifahamu jiji la Mwanza vizuri, ni Maeneo au Mitaa gani ya kuishi (kupanga nyumba/chumba) ambayo yanalandana na sifa zifuatazo?:

1. Sio maeneo ya uswazi/uswahilini.
2. Hayana matukio makubwa ya wizi na vibaka.
3. Upatikanaji wa karibu wa huduma za kijamii na kiuchumi. (maji, kiosk, ..etc).
4. Inaweza kuwa nje ya mji ila isiwe mbali sanaa na mjini kivile.
5. Haikumbwi na mafuriko wakati wa mvua.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Luchelele,nyegezi,bwiru ,capripoint

Kama unahela nimwambia mama mwenye nyumba akuwekee chumba....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilomita nane au kumi ni mbali ? Acha kumdanganya. Nyegezi pako poa sana. Bwiru maeneo mengi ni remote area. Pamepia mno
Mkuu nimeona sehemu umesema hauna usafiri Basi kaishi Bwiru karibu na Barabara ya kwenda Town , kinyuma na hapo utaishia kuishi kwenye maeneo yenye vibaka ...

ISAMILO na Bwiru Yana sifa zote unazohitaji ... Hayo maeneo mengine utaniletea mrejesho hapa ... Watu wameraja Nyegezi ni mbali Sana na town kwa shughuli zako

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijal unapata majibu mkuu

6. Una usafiri binafsi? NO..Itanilazimu kupa dala dala

7. Una familia? NO

8. Una watoto/jamaa wanaotakiwa kwenda shule kila siku? NO

9. Shughuli zako zinakulazimu kwenda mjini kila siku? YES

10. Kipato chako (Capri Point na Isamilo ni kwa wazito) mi ni UPPER-MIDDLE CLASS

11. Unataka kununua nyumba au kupanga? KUPANGA

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kibongo bongo kipato cha upper middle class kwa mwezi ni kama kiasi gani? Na kama kweli upo katika kundi hilo na hauna usafiri binafsi bora ufanye mpango upate huo usafiri kuepukana na karaha za usafiri wa daladala maana kwa hayo maeneo uliyoshauriwa kukaa kuna wakati uwa yana changamoto ya usafiri wa "Express".
 
Back
Top Bottom