Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Mwanza

Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Mwanza

ahsante sana kwa mwangaza mzuri boss wangu,.. unaweza kunisaidia maeneo mengine ya kufanana na Mwananchi ili niwe na options tofauti, samahani kwa usumbufu pia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Maeneo yapo mengi chief kuna Bwiru, Ilemela, Kiloleli, M9, Igoma n.k yana sehemu nzuri sana za kuishi, huduma za kijamii nzur pia... Au si ungeendako ukafanya survey ukaona wapi panakufaa.
 
Nenda Mabatini, Sahara, Igogo, Mkuyuni, Butimba, Bugalika na Kirumba hii ndio mwanza kwingine kote maigizo tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo mitaa miaka ya 2005-6 nilikuwa napita pita huko aise ukivaa mkanda nje unaionekana kituko flani na uwe makini hasa unaweza rudi ukiwa umebaki na tait tu!
 
Nyegezi Ni pazuri ila vibaka ni wengi mnoooo wanavizia nyumba za wanafunzi wa SAUT na wafanyakazi
 
Hiyo mitaa miaka ya 2005-6 nilikuwa napita pita huko aise ukivaa mkanda nje unaionekana kituko flani na uwe makini hasa unaweza rudi ukiwa umebaki na tait tu!

kuna kipindi kupita sahara tu mchana unaogopa acha usiku, Igogo ndio lilikuwa chimbo la bangi na majambazi ila walikuwa wanaenda kuiba mbali lakini ndio uzuri, mabatini kila nyumba lazima inauza gongo au pombe yoyote ya kienyeji


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu aliyesema Mwananchi namsupport. Ila mkuu mimi kwanza unijibu haya maswali ili nikupe majibu ya uhakika.

Una usafiri binafsi? Kazi yako ni mjini kila siku? Watoto/wanafunzi wanahitaji kwenda shule maeneo gani?

Nakupa sehemu moja, Nyasaka.
 
Mkuu aliyesema Mwananchi namsupport. Ila mkuu mimi kwanza unijibu haya maswali ili nikupe majibu ya uhakika.
Una usafiri binafsi?
Kazi yako ni mjini kila siku?
Watoto/wanafunzi wanahitaji kwenda shule maeneo gani?

Nakupa sehemu moja, Nyasaka.
Usijal unapata majibu mkuu

6. Una usafiri binafsi? NO..Itanilazimu kupa dala dala

7. Una familia? NO

8. Una watoto/jamaa wanaotakiwa kwenda shule kila siku? NO

9. Shughuli zako zinakulazimu kwenda mjini kila siku? YES

10. Kipato chako (Capri Point na Isamilo ni kwa wazito) mi ni UPPER-MIDDLE CLASS

11. Unataka kununua nyumba au kupanga? KUPANGA





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom