Huijui capri point wewe,kule chini idara ya maji kuna wakurya wamejaa wana mtaa wao slum dizainiCapri Point, hakuna wakurya
Mtaa wa seleman uko baada ya kutoka kona ya bwiru kwenye mataa kabla hujafika nyamanoro,kuna nyumba kibao za waarabu mitaa hiyoHii Seleman ndio iko mitaa gani boss?
Ukitoka kona ya bwiru kituo kinachofuata boss ni selemanHii Seleman ndio iko mitaa gani boss?
Wapo mkuu, Idara ya maji kwa chini kule kwenye mawe wapo wa kutosha fujo kule ni za kufikia vurugu nyingi uswahili mwingi.Capri Point, hakuna wakurya
Asante mkuu.
Asante boss.Mtaa wa seleman uko baada ya kutoka kona ya bwiru kwenye mataa kabla hujafika nyamanoro,kuna nyumba kibao za waarabu mitaa hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
NeraHii Seleman ndio iko mitaa gani boss?
Nenda Mabatini, Sahara, Igogo, Mkuyuni, Butimba, Bugalika na Kirumba hii ndio mwanza kwingine kote maigizo tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nenda Mabatini, Sahara, Igogo, Mkuyuni, Butimba, Bugalika na Kirumba hii ndio mwanza kwingine kote maigizo tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Capri Point, hakuna wakurya