Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Mwanza

Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Mwanza

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
571
Reaction score
1,829
Habari wana JF,
Kwa wale ambao wanalifahamu jiji la Mwanza vizuri, ni Maeneo au Mitaa gani ya kuishi (kupanga nyumba/chumba) ambayo yanalandana na sifa zifuatazo?:

1. Sio maeneo ya uswazi/uswahilini.
2. Hayana matukio makubwa ya wizi na vibaka.
3. Upatikanaji wa karibu wa huduma za kijamii na kiuchumi. (maji, kiosk, ..etc).
4. Inaweza kuwa nje ya mji ila isiwe mbali sanaa na mjini kivile.
5. Haikumbwi na mafuriko wakati wa mvua.

Ahsante.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isamilo eneo la tambalale pameshiba chief...Isamilo milimani ndo wapo wa kipato cha kawaida bila kusahau wale hohehohe...Uchaguzi wako tu boss.
Ahsante sana kwa mwangaza mzuri boss wangu,.. unaweza kunisaidia maeneo mengine ya kufanana na Mwananchi ili niwe na options tofauti, samahani kwa usumbufu pia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda Mabatini, Sahara, Igogo, Mkuyuni, Butimba, Bugalika na Kirumba hii ndio mwanza kwingine kote maigizo tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom