Njiro...ila kuna sehemu zina tope sana wakati wa mvua nyingi
Moshono
Sakina
Town (mianzini, sanawari,Phillips nk
Humtakii mema mwenzio 😂Majengo au Unga Limited
haha..alafu ndio comment ya kwanza kabisa hahaHumtakii mema mwenzio [emoji23]
Sure.Sakina is best,.niliishi 2008-2015
..ni kama Tabata kwa dar
Huyu mkuu amemaliza, ushindwe wewe tu!Njiro...ila kuna sehemu zina tope sana wakati wa mvua nyingi
Moshono
Sakina
Town (mianzini, sanawari,Phillips nk
ahsante.Huyu mkuu amemaliza, ushindwe wewe tu!
sawa sawa mkuu..Matejoo kuko poa Sana. Panafaa Sana Kwa watu watulivu.
2020
nategemea kufanya mishe town mkuu..na kusema kweli sina ndiga kwa sasaNadhani vizuri tuanze na wewe mishe zako zitakua wapi ili upate sehemu poa ambayo hauhitaji kuendesha gari muda mrefu to work
ahsante kwa hii insight mkuu...ahsante sanaNenda sakina chukua nyumba upande wa kushoto kama unaenda ngaramton anzia kibanda maziwa mpaka njia ya burka au raskazone kuanzia raskazone mpaka arusha meat Chukua upande wa kulia Kama unaenda ngaramton pia shamsi hadi soko mjinga upande wa kulia kama unatoka mjini pako bomba hzo sehemu kuingia town n easy maeneo kuanzia mianzin mpaka sanawari nyumba nyingi n mbovu alafu utajikuta unakaa kwenye boma la waarusha na utaanza kufuata Sheria za kiarusha bila kupenda huko njiro moshono morombo ngaramton kuna changamoto zake masika tope kiangaz vumbi
Ningependa kujua piaJamani vipi maeneo ya Gomba Estate, yakoje? Na bei za nyumba huko zikoje?
Njiro magari (hiace) ikifika saa 3 Usk ni mtihaninategemea kufanya mishe town mkuu..na kusema kweli sina ndiga kwa sasa
Kijenge Mwanama ndo pazuri pazuriWakuu vipi kuhusu kijenge maana na Mimi Niko Sanawari nataka nitafute sehemu nyingine lakini iwe karibu na town maana huyu muarusha nimeshindwa kuishi naye .
Nenda sakina chukua nyumba upande wa kushoto kama unaenda ngaramton anzia kibanda maziwa mpaka njia ya burka au raskazone kuanzia raskazone mpaka arusha meat Chukua upande wa kulia Kama unaenda ngaramton pia shamsi hadi soko mjinga upande wa kulia kama unatoka mjini pako bomba hzo sehemu kuingia town n easy maeneo kuanzia mianzin mpaka sanawari nyumba nyingi n mbovu alafu utajikuta unakaa kwenye boma la waarusha na utaanza kufuata Sheria za kiarusha bila kupenda huko njiro moshono morombo ngaramton kuna changamoto zake masika tope kiangaz vumbi