Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,296
- 5,248
Ahsante bossIlboru /Mianzini juu
sawa sawa boss, kule hakuna roba za watoto wa arusha hahaha?Moshono mkuu pako bomba sana.
[emoji3] Huku hizo vitu hakuna ni Amani tuu.sawa sawa boss, kule hakuna roba za watoto wa arusha hahaha?
ahsante mkuu wangu, kuna mtu hapo juu kacomment ilboru, vp hapo?[emoji3] Huku hizo vitu hakuna ni Amani tuu.
ahsante, hivi pale average kodi kwa miezi sita ni bei bed room mbili, sitting room na kitchenKama pesa ipo nenda kapange Njiro mzee.
😂😂😂 we jamaa una roho mbaya kweli, kama vipi atimbe Olmatejo au Ngarna au sio?Majengo au Unga Limited
ahsante, hivi pale average kodi kwa miezi sita ni bei bed room mbili, sitting room na kitchen
haha..jamaa anataka nirudi kwetu na boxer pekee[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa una roho mbaya kweli, kama vipi atimbe Olmatejo au Ngarna au sio?
ahsante kwa infoNimeishi huko 2018/19 chumba kimoja (master), sebule (wastani wa chumba) , jiko, 250k kwa mwezi. Maeneo ya kontena.
tupe info mkuu..sehemu gani niende[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa una roho mbaya kweli, kama vipi atimbe Olmatejo au Ngarna au sio?
ahsante mkuu depal,Njiro...ila kuna sehemu zina tope sana wakati wa mvua nyingi
Moshono
Sakina
Town (mianzini, sanawari,Phillips nk
kuna mkuu pia kaitaja moshono, naona patakuwa fresh.Njiro...ila kuna sehemu zina tope sana wakati wa mvua nyingi
Moshono
Sakina
Town (mianzini, sanawari,Phillips nk
Karibu 🤝🏻ahsante kwa info