Msaada message za kutisha za majambazi - dar

Msaada message za kutisha za majambazi - dar

Speculator

Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
56
Reaction score
4
Pana jamaa yangu katumiwa meseji , hajajua hao majambazi walipo, wanamwamuru kuwapa pesa kwa simu ya voda, afanyeje ili ajue walipo hao majambazi , kama pana mtu anaweza saidia kujua hili tafadhali, au ushauri wowote wa kuyatambua/ kuyakamata hayo majambazi,
 
awape pesa kwa voda, amewafanya nini?
kitu gani wamechukua hao majambazi hadi huyo rafikiyo akakigomboe? weka chanzo cha tatizo usaidiwe
 
awape pesa kwa voda, amewafanya nini?
kitu gani wamechukua hao majambazi hadi huyo rafikiyo akakigomboe? weka chanzo cha tatizo usaidiwe

Yeye hawajui wala hawajachukua chochote, yeye ni mfanyabiashara wa duka tu, wanamtishia maisha/kumvamia dukani la sivo awape pesa.
 
Yeye hawajui wala hawajachukua chochote, yeye ni mfanyabiashara wa duka tu, wanamtishia maisha/kumvamia dukani la sivo awape pesa.
duh tumefika pabaya!! aripoti polisi haraka, ikiwezekana afanye utaratibu wa kujua ni nani mwenye kumiliki hiyo simu haraka!! Anaweza kwenda kwenye kampuni ya simu husika ili aweze kumjua (ila ni kazi ya polisi hiyo).
 
Back
Top Bottom