Msaada: Microsoft Lumia 535 dual sim ina tatizo la kuzima na kuwaka (auto-restart)

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,788
3,028
simu yangu WP 535 dual sim ina zima na kuwaka yenyewe sasa sijui ndo nature yake au kuna tatizo plz naomben msaada.
pia kuna ubaya niikiingiza window 10 japo haijawa official released kwa phone kwa window insider. ni mpya ina wiki moja tuu nimeinunua lak3 na 20 tuu nadhani ndo bei yake.
iko poa sana hata kwa betri. pia mwenye kava lake zito zuri ani pm.

je nokia ishakufa baada ya kununuliwa na microsoft au vipi maana siwaelewi hapo. simu za wp na nokia naona mambo kibao yanafanana. nmewahi tumia N79 na E72 camera kali sana stable machine.

pia natafta mfuniko wa xperiaz3 nlonao umepasuka.
your advice is highly appreciated nashukuru.
 
-jaribu kuangalia updates bug kama hizo huisha unapo update simu

-si vyema kwenda insider kama uelewa wako wa simu ni mdogo sababu huko pia kunakuwa na bugs

-nokia haijakufa ila now hawatengenezi simu. simu zozote zinazotumia windows phone zinafanana iwe ni samsung ativ, htc 8x au nokia lumia au microsoft lumia zinafanana

-jaribu kwenda maeneo ya sapna kuna maduka mengi na makubwa ya accessory za simu
 
nashukuru sana mkuu chief mkwawa kwa elimu kubwa unayotupa ubarikiwe na Mungu. sasa ntawezaje kutoa hizo bugs?
 
Download official app ya Microsoft inaitwa 'Stop Restart App' inamaliza kabisa hiyo shida.
Binafsi niliipitia hiyo changamoto na Lumia kama hiyo yako. Ila baada ya kudownload hiyo app na ku-run, maisha matamu sana na WP.
Karibu WP mkuu, the world of productivity. Weka Office Lens uweze kuscan na kusave documents zako as PDF and many other formats
 
Back
Top Bottom