Msaada lodge/motel/hotel nzuri Morogoro mjini

Msaada lodge/motel/hotel nzuri Morogoro mjini

FLOMI HOTEL ILIYOJENGWA JUU YA BOMBA LA MAFUTA. UKIKOSA HIYO NENDA KINGSWAY ALONG IRINGA ROAD. JIRANI SANA NA MSAMVU
Hizo hoteli ulizomtajia bei yake ni kubwa Flomi ni 70,000/= na Kingsway 50,000/= (bei ya chini) aende tu guest za nyuma ya Msamvu ziko nyingi tu kwa hiyo hela yake
 
gwami ya msamvu sio mbaya maeneo mengine ni nyuma ya stand ya msamvu kuna ma guest house mazuri sana kwa bei yako hiyo
Hakikisha kabla ya kulala madirisha ufunge kama ya vioo la sivyo utalia wanaweza kulowa vitu vyako vyote
 
MGANGA GUEST HOUSE,Mitaa ya saba saba,inaangaliana na nyumba ya mzee mwanjisi[R.I.P]
mkuu jozzeva umenikumbusha mbali mganga guest imeshakufa dah ile ndo mitaa yangu kwa mzee mwanjisi ndipo nilipokulia mbele kuna duka si ndio inatazamana na nyumba ya tindwa
 
Nenda hapo msamvu utajichagulia mwenyewe zipo kwa mafungu.zote standard
 
FLOMI HOTEL ILIYOJENGWA JUU YA BOMBA LA MAFUTA. UKIKOSA HIYO NENDA KINGSWAY ALONG IRINGA ROAD. JIRANI SANA NA MSAMVU
Flomi Hotel hakuna vyumba vya Tshs. 30,000. Pale ni Tshs 80,000 kwenda mbele. Ila wapo vizuri sana
 
Back
Top Bottom