Kidupi, sio mbali na msamvu, wana huduma nzuri sana, 25,000 unapata room kuubwa kali, inavutia...yaani wako vizuri kwa ujumlanategemea kwenda morogoro mjini mwezi June mwanzon. tafadhali naomba wenye uzoefu waniambie ni lodge/motel/hotel gani nzuri, usafi wa kutosha, yenye usalama wa kutosha, utulivu na bei kati ya sh 25,000 hadi 35,000/ per day
Mkuu nilisha lala Top Life hotel few yrs ago. Safe, clean, good location to all over townnategemea kwenda morogoro mjini mwezi June mwanzon. tafadhali naomba wenye uzoefu waniambie ni lodge/motel/hotel gani nzuri, usafi wa kutosha, yenye usalama wa kutosha, utulivu na bei kati ya sh 25,000 hadi 35,000/ per day
Ukihitaji company ya kunywa na mengineo nitafute.nategemea kwenda morogoro mjini mwezi June mwanzon. tafadhali naomba wenye uzoefu waniambie ni lodge/motel/hotel gani nzuri, usafi wa kutosha, yenye usalama wa kutosha, utulivu na bei kati ya sh 25,000 hadi 35,000/ per day
Hahaha Mwenzako analilia affordable wewe unataka ukamunywe. labda eleza vizuri kama utamunywesha.Ukihitaji company ya kunywa na mengineo nitafute.
Nataka kutekeleza sera ya Evelyn Salt Wake kwa waume haki sawa kijinsia...na kidini
Mwanamke ni kama pambo.Hahaha Mwenzako analilia affordable wewe unataka ukamunywe. labda eleza vizuri kama utamunywesha.
Hakikisha anarudi na shati tu, briefcase inabaki kwakoUkihitaji company ya kunywa na mengineo nitafute.
Nataka kutekeleza sera ya Evelyn Salt Wake kwa waume haki sawa kijinsia...na kidini
Kumsindikiza haina shida ila ubadilishe kwanza ID yako inantisha.Dah... naweza kumsindikiza?[emoji12]
Habari ndo hiyo lazima ataleta mrejesho humu tutakachomfanyia.HahahaaaHe wawili si atarudi anakotoka keshabaki mgogo nje.