Msaada lodge/motel/hotel nzuri Morogoro mjini

Msaada lodge/motel/hotel nzuri Morogoro mjini

Zipo nyingi sana.... Nenda kibo peak. Ni nzuri ina utulivu sana
 
Zipo nyingi sana.... Nenda kibo peak. Ni nzuri ina utulivu sana

Kibo Peak room zinaanzia 40k kwenda juu ila pazuri sana, Kingsway pazuri na rooms zinanzia 60k kwenda juu
 
nategemea kwenda morogoro mjini mwezi June mwanzon. tafadhali naomba wenye uzoefu waniambie ni lodge/motel/hotel gani nzuri, usafi wa kutosha, yenye usalama wa kutosha, utulivu na bei kati ya sh 25,000 hadi 35,000/ per day
MGANGA GUEST HOUSE,Mitaa ya saba saba,inaangaliana na nyumba ya mzee mwanjisi[R.I.P]
 
Dah.,, kuna night clubs nyingi tu Moro unaweza kukesha hapo ukasave pesa yako angalau urudi na zawadi ya machungwa [emoji12]
Dah.,, kuna night clubs nyingi tu Moro unaweza kukesha hapo ukasave pesa yako angalau urudi na zawadi ya machungwa [emoji12]
Duuuh!ilibidi nicheki jina lako nikagundua rohombaya....hahahaga
 
Back
Top Bottom