Habari za jioni.
Naombeni msaada katika hili.
Jana jioni nilisajili line mpya ya ttcl pale Mwenye na nilikamilisha process zote.
Shida imekuja nilipoweka line kwenye simu tangu hiyo jana haisomi kabisa, yaani "No service".
Nimejaribu ku-restart simu Mara kadhaa lakini haijasaidia.
Naomba msaada juu ya kitu ninachoweza kufanya ili niokoe muda wa kwenda makao makuu yako.
Asanteni na jioni njema
Sent using Jamii Forums mobile app