Msaada laptop ya toshiba satellite a300

Msaada laptop ya toshiba satellite a300

Fundifundisho

Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
77
Reaction score
18
Natumia satellite a300-14s, windows xp
zamani ilikuwa na window vista ila baadaye nilibadirisha nikaweka windows xp ila sasa kuna tatizo la drivers za VGA, na AUDIO,
nimejaribu ku install universal drivers imegoma, pia nimeingia website ya toshiba nikadownload zinagoma hivyo naombeni msaada wenu kama kuna mtu anawezanipa link ntashukuru..
 
Back
Top Bottom