Toshiba satellite c50-A634

Toshiba satellite c50-A634

WIMICKY

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
1,439
Reaction score
1,575
Habari wakuu kuna laptop Toshiba satellite c50-A634 nimeltewa ikiwa na widows 8.1 nikawa nahitaji kubadilisha nitumie widow 7 haiboot nimejaribu kubadili setting kwenye bios bado inagoma ila window 8 inaboot bila matatizo msaada kwa anaefahamu fumbuzi wa hii ishu
 
Kinachogoma ku-Boot ni OS ya Windows 7 au installation CD/DVD ya Windows 7?
 
os ya windows 7

Ikiwaka inaenda moja kwa moja kwenye Windows 8 bila ya kukupa option ya kuchagua OS au inakupa option ya kuchagua lakini Windows 7 hai-Respond?
 
kuna option katika bios setup inaitwa UEFI
Many new computers are shipping with the option to boot Unified Extensible Firmware Interface (UEFI) instead of standard BIOS.
badili hiyo ndio itakubali
 
Kwa nini watu wengi wanaikimbia windows 8!? Mbona ndo windows nyepesi ukilinganisha na windows nyingine!
 
windows 8 ina uwezo wa ku overwrite bios Boot menu. sasa chakufanya,,nenda kwenye BIOS na u-Disable OS boot menu, pamoja na UEFI.. Then Allow legacy boot
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom