Msaada lap top haidetect wireless

Msaada lap top haidetect wireless

Kireka1980

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2008
Posts
302
Reaction score
44
Waungwana naomba msaada wenu, sehemu niliyopo kuna wireless na laptop inaidetect kwa kuandika "wireless available" lakini hayomaandishi hayapo active (yamefifia) hivyo siwezi kuconnect.
msaada tafadhali ni dell e6410
uungwana ni vitendo
 
Hiyo wireless huenda ina Security Code so mpk uziweke ndo itakuwa active....
 
ahsante mkuu, ni kweli ina security code na ninazo shida ni pa kuingia ili niweko code hapako active. za modem peke yake ndio zipo active
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom