Msaada kwenye tuta. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye tuta.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiby, Jul 2, 2010.

 1. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Nina ndugu yangu ambae amefariki, na imekujakugundulika siri zake nyingi alikuwa amezihifazi kwenye Email yake. Hivyo naomba msaada kwa yeyote mwenye kufahamu namna ya kugundua password kesheria ili kuwazafungua hii mail. Na hata kama kisheria ni process ndefu, basi kijinai (hackers) wasalaam!.
   
 2. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  huyo hakutaka kuwamegea mwache afe nazo kwani kama alikuwa na uwezo wa kuziweka kwenye E mail ina maana ana mtu ambaye amemueleza Pass word yake in case akifa. We subiri atajatokea mmoja wenu atakua na hiyo password. We una haraka nazo hizo siri zake za nini ndio maana hakukuambia alikua hataki mtu azijue. Na kama yupo atakuwa ana instructions maalum za kutokuelezea hicho alichokiweka. Tafadhali wana jamii naomba msimpe huyo jamaa hiyo mbinu kama yupo anaezijua kwani inaonekana akiweza kufanikisha madhara yake yatakuwa kwa wengi atawafungulia E mail zao na kupata habari ambazo yeye astahili kuzifahamu.
   
 3. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  .
  Sasa mkuu kama wapo wanaofahamu jinsi ya kufungua unapowakataza wasiitoe. Si unawamaanishia wao ndio waendelee kutembelea zetu tu. Bila sisi kuwa na huo uwezo? Hata hivyo wazo lako ni la kujenga zaidi nami nalikubali. Ila nia yangu haikuwa mbaya kwani ni kweli kabisa ndugu yetu huyu alikufa ghafla na hivyo hakufanikiwa kotoa hata neno moja kwa yeyote. Mimi tu ndie niliekua nafahamu siri zake alikuwa anazitunza kwenye folder ya Important kwenye imail yake. Sasa kazi ni namna ya kuifungua.
   
 4. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,012
  Likes Received: 3,197
  Trophy Points: 280

  Sisi tutakua na uhakika gani wewe hukuhusika na kifo chake??
   
 5. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2010
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kiby, wewe tu si ndie ulikuwa unafahamu siri zake...sasa unataka nini tena?
   
 6. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2010
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunajifunza nini? ni bora jamaa angezimwaga kwenye karatasi akawapa mashehe na mapadiri?
  Pole sana ndugu yangu-ngoja utapata ushauri,hapa hakishindikani kitu. Ila kuwarahisishia wataalamu,waeleze ni email gani yahoo,hotmail,outlook etc. Na je unalipa au unataka msaada wa bure kabisa?
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hii ni kazi ya administrator wa mirathi hiyo, ambapo atakuwa amechaguliwa na kikao cha familia!..Hii haraka yako Broda inazua maswali mengi!..Watu wanaweza kukusaidia jinsi ya kuhack, lakini ikasababisha havoc kubwa zaidi kuliko thamani ya mali zilizopo kwenye hizo mail...Hivyo jitahidi ufuate taratibu za kisheria zinavyoelekeza!
   
 8. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mimi namfahamu mtu mmoja anayeweza kukusaidia anaitwa Gary McKinnon kama unaweza kupata contacts zake mtafute, soma habari yake.

  Brit charged with hacking Pentagon, NASA
  An unemployed British sysadmin was yesterday indicted for what US authorities describe as the "biggest hack of military computers ever detected". Gary McKinnon, 36, of London, was charged in absentia with one count of causing intentional damage and seven counts of computer fraud relating to alleged attacks on scores of US government computers in a period spanning over a year.

  Prosecutors told Reuters that McKinnon "stole passwords, deleted files, monitored traffic and shut down computer networks on military bases from Pearl Harbour to Connecticut". He is accused of scanning networks for vulnerabilities prior to using a software program called RemotelyAnywhere to snoop on network traffic and erase files.
   
 9. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  .
  Nilichofahamu kutoka kwake ni kwamba amezihifazi siri zake humo ila hakuwahi kunipa pass word
   
 10. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  .
  Ni Yahoo mkuu. Msaada nilikuwa nataka wa bure kabsaa na au kama ni kulipa gharama iwe chini ya dolla za kimarekani mia moja.
   
 11. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  .
  Ndio maana ombi langu la kwanza ni msaada wa kisheria . Hivyo basi pa kuanzia ni wapi? Ofisi za yahoo zinapatikana wapi ili nitinge huko? Na ndio kama process ina longo longo nyingi basi hatua za kuchukuliwa ziwe za kijinai.
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Issue yako inatia wasi wasi Siri gani mtu anaweka kwenye mail.Kitu kikubwa sana sana kwenye mail ni Sent and Incomming mail. Sidhani kama watu wengi wanatumia diary ya kwenye yahoo mail.

  Mtazamo wangu ni kuwa Kama hujapata siri kwenye simu yake then huwezi kupata siri unazotegemea kwenye mail yake.Otheriwse u re not that much close to that perosn who passed away au kuna ka mgogoro fulani.

  Sasa kwenye Sent na incomming utapata kitu gani kitakoacho kusaidia????? uwajue watu alikouwa anawatumia na kupokea mail zao? Usome alikuwa anaawaandiakia an kuandikiwa nini ??????mhhhh

  Pole sana kuwa katika situation hiyo lakini ndugu na jmaa kama mnaushirikiana mtazijua tu siri sio kila mtu afanye kipembeni pembeni

  Vyovyote vile hiyo imekula kwako sabbau yahoo hawaangaiki sana na free account
   
 13. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kuna software ya kuweza kufanya hivyo na haizidi dola mia.. kazi kwako google na utaweza ona wapi pakuipata
   
 14. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  .
  Thanks very much my dear sister/br nimefanikiwa kuipata kwa ku-google. Wazo lako nimenifanikisha mno. Be blessed.
   
Loading...