Msaada kwenye tuta

mlaso

Member
Feb 19, 2012
21
0
Naomba msaada katika hili......ni vizuri kumwambia mke/mume/mpenzi wanaokutongoza?
 
Inategemea na aina ya mahusiano yenu. Yeye anakuambia? Well, ni aina ya kujilinda kama huna cha kuficha na mwenzio kifua kama anacho.
 
Naomba msaada katika hili......ni vizuri kumwambia mke/mume/mpenzi wanaokutongoza?

Warning: Wengi wanaosema wametongozwa kuna possibility kubwa ya kuwa wameshamegwa, so wanasema kwa kuzuga ili kuwaaminisha wapenzi wao kuwa wana msimamo! Hii ni tabia ya ukicheche
 
Sio vizuri hata kidogo! Wanasema sijui ndio unakua muwazi lakini hamna lolote, zaidi mwenza wako ataanza ku build impression za ajabu halafu iwe kero...
 
huo ni ulimbukeni! me akiniambia hivyo ni kipimo tosha kwamba anifai
 
Kwanza mnaanzaje kuyaongelea hayo mambo..?
Wataanza hivi:"Yaani sweetie...Si yule bosi wake FirstLady1 anambia eti tupange siku tukutane nae mahali tuongee kidogo kwa kuwa ananipenda sana na hajapataga muda wa kuongea na mimi....Looool nkamwambia anikome kabisaa kwanza mi nimeolewa....na nampenda mume wangu"
 
Sioni kuna kosa, kuna wanaume wengine wanapenda kutongoza wake za watu, hata kama yule mwanamke kisha muambia ni mke wa mtu, na hana time na mwanaume mwingine zaidi ya mme wake lakini hawasiki wanazidisha kero tu ya kumfata.

Hapo inabidi mke wako afiksihe ujumbe kwako, kuna jamaa huko anataka cross red line, inabidi uchukue action.
 
Mkuu Fazaa, Mwanamke mwenye kujiamini anaweza kusema NO na akaeleweka, hahitaji mume wake kuchukua action yoyote. Na mimi siwezi ku-encourage mwanaume kuchukua action hapo maana yule mtu anaweza kuelewa kumbe mwanamke huyo ni mdhaifu na kama anataka kumpata atamvizia katika kipindi ambacho mume wake hayupo because she can't say NO by herself.
Kama couple yenu ina transparency ya nguvu basi mwambie mume wako: fulani sio mtu mzuri, pamoja na kumwambia kua nimeolewa kanitongoza. Kama couple haina utaratibu huo wa kuongelea personal events basi usimwambie kitu.
 
Warning: Wengi wanaosema wametongozwa kuna possibility kubwa ya kuwa wameshamegwa, so wanasema kwa kuzuga ili kuwaaminisha wapenzi wao kuwa wana msimamo! Hii ni tabia ya ukicheche

ni kweli kabisa.
 
Mkuu Fazaa, Mwanamke mwenye kujiamini anaweza kusema NO na akaeleweka, hahitaji mume wake kuchukua action yoyote. Na mimi siwezi ku-encourage mwanaume kuchukua action hapo maana yule mtu anaweza kuelewa kumbe mwanamke huyo ni mdhaifu na kama anataka kumpata atamvizia katika kipindi ambacho mume wake hayupo because she can't say NO by herself.
Kama couple yenu ina transparency ya nguvu basi mwambie mume wako: fulani sio mtu mzuri, pamoja na kumwambia kua nimeolewa kanitongoza. Kama couple haina utaratibu huo wa kuongelea personal events basi usimwambie kitu.
Mwali; Usisahau kuwa wanaume wengine huwa wanatongoza kwa kutumia simu/kujipeleka ofisini kwa huyo mwanamke inaleta bad reputation kwa huyo mwanamke, ama kwa rafiki zake au kazini kwao wananza kumshakia ni mpenzi wake.

Unapo tazama angle lazima utazame upande wa kila angle, madhara yake na faida yake....kama wewe unakubali kuona mwanaume kila siku anakufata kukutongoza kazini, au uko na rafiki yako/family yako ni wewe tu sio wote.
 
Sijakataa, najua wanaume wengine wagumu kidogo kuelewa, but mwanamke anatakiwa kuact STRONGLY! Mwanaume ukimwambia NO, sim hupokei, msg hujibu, na offisini unaacha maagizo, ikitokea mkutane humsemeshi etc ataelewa tu. Sio unakataa huku unacheka, tena kwa kusema : nimesha olewa (which suggests that ungekua hujaolewa ungekubali). Sema tu: No, Sikutaki!
Hivi kama kila mwanamke atamtafuta mume wake aje kusema NO, ambao hawajaolewa wafanyeje? Na ukienda kusema NO halafu huyo mtu akawa mkali na akaanza kumchafua mke wako live? Mpe mke wako moyo but let her fight her own battle. Unless uone kama she is your property and that you need to defend it from violation of property. lol
 
Usipo pokea simu we jiuliza kwanza swali, wenzako wanasikia simu yako inalia na wewe hutaki kupokea watasema nini??

BTW usisahau sio kila mwanamke anapenda ku act strongly kama unavyosema, usisahau sio kila uki act srongly ndo utakuwa vile, kumbuka mara nyingi sana ukitaka ku mjua nani ana akili, ni pale anapo tumia akili katika matatizo sio nguvu :biggrin:
 
Kwani nahishi kwa kuwaeleza wenzangu kinacho endelea maishani mwangu?
wenyewe wananieleza ya maishani mwao? si nasema tu sitaki kupokea hii sim?
Halafu sijasema ku act strongly ni physical strength, ni character strength.
Character strength muhimu sana katika hili zoezi, na kila mtu anatakiwa kua nayo.
 
an average woman anatongozwa left, right and centre; mahali na muda tofauti tofauti; atapeleka mashtaka mangapi kwa mumewe sasa? nakubaliana na mwali, kama hutaki just say NO na usimamie maamuzi yako
 
Back
Top Bottom