msugupendigwite
Senior Member
- Dec 20, 2012
- 137
- 26
wataalam simu yangu (nokia x2-01) iliingia maji ikawa haiwaki, nikaipeleka kwa fundi ameiflash baada ya hapo imekua na tatizo jipya haitoi sauti wala vibration, itakua ndio imekufa au ni tatizo linalorekebishika? kama linarekebishika, ni kwa namna gani?