Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Tafadhali wadau naombeni msaada wenu wa haraka. Nimenunua smart kitochi 4G ofisi z tigo ila baada ya kuweka line imeniambia niingize NCK CODE kwenye SIM 1na SIM 2, nauliza code hizo ni zipi?
Nimefanya hivyo mkuu, ila mnara wa kuonyesha laini zipo hewani sioni.inaniambia niingize hizo code kwanzaRule number 1
Hakikisha laini zote zimesoma na pia
LAINI YA TIGO IWE SIM1
Nimefanya hivyo mkuu, ila mnara wa kuonyesha laini zipo hewani sioni.inaniambia niingize hizo code kwanza
NiPM namba zako tufanye kaziTafadhali wadau naombeni msaada wenu wa haraka. Nimenunua smart kitochi 4G ofisi z tigo ila baada ya kuweka line imeniambia niingize NCK CODE kwenye SIM 1na SIM 2,nauliza code hizo ni zipi?
Ila concern yangu umeielewa mkuu?Nicheki kesho nikupe code. Maaana saiv nimefunga ofisi.
Mkuu Piga picha kwa nyuma kwenye trey ya lainiUmeiona hiyo meseji mkuu?View attachment 1467949
Nimekutumia namba yangu chiefNiPM namba zako tufanye kazi
Utanipoza kidogo, malipo ni baada ya kazi
Ndiyo....., niPM malipo baada ya kazinauliza kama inawezekana ku unlock line one isiwe inatumia tigo tu, inawezekana?
Geuza iyo lain aiwezi soma ilivyo uko mbele kuwe nyumaKwenye trai ya lainiView attachment 1467955
Unapataje huduma ya PDF kwenye Smart Kitochi mkuu? Sana sana kushare document za pdf WhatsApp.Mkuu Piga picha kwa nyuma kwenye trey ya laini
HapanaNa je? Ikiwa mtandao mwingone bado ni 4G
Hapa sijakuelewaNa je? Ikiwa mtandao mwingone bado ni 4G