maboss01
New Member
- Aug 8, 2020
- 3
- 3
Typing error... yan nilikua nauliza ukisha unlock ukawek lain nyingin kwa mfano voda je? Mtandao unasoma 4G au unachange na kua 2G. Kam ilivyo kweny lain 2Hapa sijakuelewa
Typing error... yan nilikua nauliza ukisha unlock ukawek lain nyingin kwa mfano voda je? Mtandao unasoma 4G au unachange na kua 2G. Kam ilivyo kweny lain 2Hapa sijakuelewa
Inakua 4GTyping error... yan nilikua nauliza ukisha unlock ukawek lain nyingin kwa mfano voda je? Mtandao unasoma 4G au unachange na kua 2G. Kam ilivyo kweny lain 2
Tafadhali wadau naombeni msaada wenu wa haraka. Nimenunua smart kitochi 4G ofisi z tigo ila baada ya kuweka line imeniambia niingize NCK CODE kwenye SIM 1na SIM 2, nauliza code hizo ni zipi?
Hicho mbona bila hata kuflash line zote zinasoma 4G ila line 1 lazima ikae voda.Na mm pia naomba msaada nimechukua smart kitocho vodacome shop nataka kutoa nck code
Smart Kitochi
Azumi L3K
Imei 359520100032287
Unlock
Hata mimi natoa code kwa gharama ya elfu tanoHicho mbona bila hata kuflash line zote zinasoma 4G ila line 1 lazima ikae voda.
Kama hutaki kabisa kutumia Voda mcheck Anonyshu akupe code but not free
mimi nataka uniwekee javaHata mimi natoa code kwa gharama ya elfu tano
Natoa NCK CODE tu kwa smart vitochi zote zinazoomba NCK CODEmimi nataka uniwekee java
naomba muongozo nataka hzo code 0658455277Hata mimi natoa code kwa gharama ya elfu tano
Ni PMnaomba muongozo nataka hzo code 0658455277
Kama hutojali weka IMEI hapa ila iwe IMEI ya laini namba Mojanaomba muongozo nataka hzo code 0658455277
Naomba msaada nina smart kitoch cha kampuni ya vodacom nikiweka laini ya halotel kinaomba nck code
NiPM IMEI namba za SIM 1
Njoo PMNa mm nashida na nck msaada
Laini zinasumbua sana kusoma kwa hizo hasa pale utataka uweke size ile ndogo isio yake,Chukua vibati vya line kisha vesha na uweke hakikisha line ya tigo iwe ndio namba moja( kuna siku ) nilikosea nikabugi hio error kama yako ilinitesa baadae nikafix uzur wake haina limit ya ku attemptTafadhali wadau naombeni msaada wenu wa haraka. Nimenunua smart kitochi 4G ofisi z tigo ila baada ya kuweka line imeniambia niingize NCK CODE kwenye SIM 1na SIM 2, nauliza code hizo ni zipi?