uduzungwa JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 552 Reaction score 544 Mar 15, 2017 #1 Wakuu salama. Wakuu ombi la msaada jinsi ya kuweza kudownload games za PES kwwnye websits. Naomba mwenye link masaada kdg
Wakuu salama. Wakuu ombi la msaada jinsi ya kuweza kudownload games za PES kwwnye websits. Naomba mwenye link masaada kdg
grandMullah23m JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 248 Reaction score 339 Mar 15, 2017 #2 tumia utorrent,itakupa uwezo wa kudownload na kuinstal games kwa urahisi zaidi
uduzungwa JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 552 Reaction score 544 Mar 16, 2017 Thread starter #3 givoh23 said: tumia utorrent,itakupa uwezo wa kudownload na kuinstal games kwa urahisi zaidi Click to expand... Mkuu hiyo torrent natumia. ila sasa hizi file ninazo download zinakuja katika format ambayo siielewi kabisa. sijui ipo compressed au nini.
givoh23 said: tumia utorrent,itakupa uwezo wa kudownload na kuinstal games kwa urahisi zaidi Click to expand... Mkuu hiyo torrent natumia. ila sasa hizi file ninazo download zinakuja katika format ambayo siielewi kabisa. sijui ipo compressed au nini.
Qj_ Senior Member Joined Feb 16, 2017 Posts 157 Reaction score 155 Jun 24, 2017 #4 naombeni mnipe Activation key za PES 2015.