Raaj
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 205
- 29
Habari za Leo ndugu wana jf,poleni na majukumu ya kazi naombeni msaada wenu ni kwamba nilifanikiwa Ku root simu yangu Samsung s3 sasa nikawa na flash ROM nikafanikiwa sasa wakati wa kuflash Gapp ikaandika error je naweza kuflash hiyo Gapp kwa Mara ya 2? Ni nini umuhimu wa Hiyo Gapp kwenye simu?
ASANTENI
ASANTENI